Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,628
mbona ya karibuni tu hiyo?kitambo sana...
mbona ya karibuni tu hiyo?kitambo sana...
tena nimekumbuka, kwa sasa na kipilipili changu ngoja siku moja moja niwe natumia kigae.....ahahaaa sister ngu alikuwa anaipaka sana iyo .. ila kigae cha chungu kinanyoosha nywele vizuri kweli jamani
mi nimenyoa siku hizi.nilinyoa nilivofiwa sasa huyu mbaby wangu wa huku hautaki nisuke tena eti anasema napendezea kunyoa,sijui anaogopa mizinga ya saloontena nimekumbuka, kwa sasa na kipilipili changu ngoja siku moja moja niwe natumia kigae.....
nina vyungu vyangu kadhaa pale home, nitavunja kimoja kwa ajili ya matumizi haya.....
karubu besti tukumbushie enzi...... usisahau na mafuta ya nazi
ndo maana nakuambia hutakuwa unaenda saluni....mi nimenyoa siku hizi.nilinyoa nilivofiwa sasa huyu mbaby wangu wa huku hautaki nisuke tena eti anasema napendezea kunyoa,sijui anaogopa mizinga ya saloon
ahahaaa sinyoi tena kama vipi aniache.mi nishazoea kuachwa mbona suna hiyo?ndo maana nakuambia hutakuwa unaenda saluni....
saluni kuna jiko la mkaa au kuni?
mwambie itakuwa home made, lol!
Kuna mtu (mdada) kaniambia hiyo inaitwa Mirija style...je ni kweli?mshikachuma, hiyo unaweza
1. kutumia texturizer, ukipata muwekaji mzuri zinatokea hivyo; au
2. kama una nywele natural ambazo ni laini unaweza kutumia activator baada ya kuziosha, kuzichana, unaweka activator yako then unachana kwa vidole, lol!
namba 2 huwa naitumia, hiyo siyo permanent, ukiosha tu imekwisha, ila namba 1 ni permanent
ha haaaa....... usizoee bana.....ahahaaa sinyoi tena kama vipi aniache.mi nishazoea kuachwa mbona suna hiyo?
mimi sijui jina lakeKuna mtu (mdada) kaniambia hiyo inaitwa Mirija style...je ni kweli?
ile ilikuwa noma besti.....
ila sasa ilikuwa inafanya nywele zinakuwa straight kupita zilizolambwa na mbwa.....
thanx God sikuwahi kutumia, maana chokaa ilikuwa expensive, sikuweza kuafodi......
mbadala ilikuwa kuchoma na kigae cha chungu, lol!
Mhhh. FP si useme tu? Tule tunanihii tunatumika kuseti nywele. Im glad im a soldier aisee. Ulimbwende kazi haswaa.
sijawahi kusuka mmasai.....FP siku ile kwenye kumbukumbu ya Regina nilikuona umesuka MMASAI ahahahaha!
ulipokuwa unaoa mdada expensive ulitegemea nini?Nywele za madada ni gharama sana na mm wife akiniambia anataka kwenda saloon huwa na scratch my hands maana najua hela ni nyingi hapo zinahitajika!
Sangita au Mmasai ni zaidi ya laki sasa na akienda huko mjini akaona"Brazilian Wigs"ikawa vita home,kuulizia bei yake ni laki 4 nikachoka mwenyewe!
Kipato changu hakikuruhusu kununua hilo wig nikanyimwa unyumba hadi nilinunue ahahahahaha!Namshukuru mungu nikamnunulia mambo yakaendelea!
mshikachuma, hiyo unaweza
1. kutumia texturizer, ukipata muwekaji mzuri zinatokea hivyo; au
2. kama una nywele natural ambazo ni laini unaweza kutumia activator baada ya kuziosha, kuzichana, unaweka activator yako then unachana kwa vidole, lol!
namba 2 huwa naitumia, hiyo siyo permanent, ukiosha tu imekwisha, ila namba 1 ni permanent
hizi ambazo watu wa wave wanatumia. Ila nywele iwe natural.....FP activator ya aina gani hyo nami nijaribu?
hizi ambazo watu wa wave wanatumia. Ila nywele iwe natural.....
na unaweza ukaanza kwa steaming ya asali na olive oil (ile ya kupikia), then ukishaosha unafuta nywele na taulo tu then unapata hiyo activator