Wadada, Hii ni style gani?

Wadada, Hii ni style gani?

asante best..nna natural hair ya kubana kipafu..lol

ngoja niifanye hii style kesho. inaweza dumu kwa muda wa siku ngapi bila kuvurugika?

mambi ya dawa yamenishinda..
ha haaa, tuko wengi tulioshindwa na dawa....
unaweza kaa nazo hata wiki, ila mimi nikifanya hivyo ni kama naenda mahali, baada ya siku 2 huwa naosha....
siwezi kaa nazo zaidi ya siku 2 maana ile activator inakuwa inatengeneza kama vipaticles fulani ambavyo naviona kama uchafu, so huwa sipendi. ila kama unaweza vumilia unaweza kudumu wiki, ila ndo unakuwa huchani na chanuo, ni mwendo wa kutengeneza kwa vidole
ila sasa kama natural yako ni kipilipili sijui itawezekana! maana mimi zangu ni laini sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK

hahaaa..asante sana. natural yangu ya kati si laini si ngumu. nitajaribu kwa my young sister pia yy ndo ana nywele laini mno.

huwezi amini watu kibao huwa wanani admire sana..wengi wanatamani ila wanasema hawawez vumilia eti zinauma.

i love my hair zinanifanya nijione wa kipekee.
 
natural ni bomba ila kweli inauma, na makasheshe ya kujifunga mabutu kila usiku ili kesho zichanike vizuri, lol!
ila nakomaa nazo hivyo hivyo
 
kama leo nipo hoi sana hapa nimejilaza bula kuzifunga mabutu..

mi nikipaka olive oil nachana tu bila shida maana zinalainika.
 
aaaaaaaaah changu kilemba ushungi haya majimambo wanaweza wamama wamujin na wenye pesa zao
 
Hahaha ngoja tusitoe siri. Ila ukiwaambia saluni unataka afro kinky hair wanakudoo. Lol. Inapendeza but unakaa saluni hadi unaota mizizi.
tunanihii gani tena rafiki?
mwenzangu, ni bora kuwa soja
na mimi ndo naelekea kwenye usoja aisee
 
Mke wa bahili hapendezi bau weeh. Na sasa akishasuka sangita si unyumba hupati siku mbili zingine? Manake zinavyouma kama adhabu!mie kusuka siwezi kabisa manake ngozi yangu inauma kama ya mtoto. Na hayo mawigi kwa kweli nayaogopa. Mungu alijua tu akanijalia nywele nzuri natural!
Nywele za madada ni gharama sana na mm wife akiniambia anataka kwenda saloon huwa na scratch my hands maana najua hela ni nyingi hapo zinahitajika!

Sangita au Mmasai ni zaidi ya laki sasa na akienda huko mjini akaona"Brazilian Wigs"ikawa vita home,kuulizia bei yake ni laki 4 nikachoka mwenyewe!

Kipato changu hakikuruhusu kununua hilo wig nikanyimwa unyumba hadi nilinunue ahahahahaha!Namshukuru mungu nikamnunulia mambo yakaendelea!
 
tena nimekumbuka, kwa sasa na kipilipili changu ngoja siku moja moja niwe natumia kigae.....
nina vyungu vyangu kadhaa pale home, nitavunja kimoja kwa ajili ya matumizi haya.....
karubu besti tukumbushie enzi...... usisahau na mafuta ya nazi

Ukivunja chungu naomba nami kigae!
 
Ukivunja chungu naomba nami kigae!
poa rafiki,
nilikuwa navikagua hapa nimeona kimoja kimeanza kuweka ufa, ni sababu nzuri sana ya kukivunja, lol!
kwa sasa nimesuka, nikifumua tu nitafanya huo utaratibu....
stay tuned
 
Kuna jirani yangu mmoja mke wake alimshinikiza apelekwe saloon kusuka hizo sangita. Jamaa akajipigapiga akampeleka (by the time mdada alikuwa mjamzito). Ile anarudi usiku anamkuta mwanamke anafumua nywele, kumuuliza kulikoni anamwambia aah sijazipenda tu!!

Kilichomsaidia mdada ni ujauzito la sivyo siku hiyo jamaa angemtoa ngeu!
Nywele za madada ni gharama sana na mm wife akiniambia anataka kwenda saloon huwa na scratch my hands maana najua hela ni nyingi hapo zinahitajika!

Sangita au Mmasai ni zaidi ya laki sasa na akienda huko mjini akaona"Brazilian Wigs"ikawa vita home,kuulizia bei yake ni laki 4 nikachoka mwenyewe!

Kipato changu hakikuruhusu kununua hilo wig nikanyimwa unyumba hadi nilinunue ahahahahaha!Namshukuru mungu nikamnunulia mambo yakaendelea!

Mke wa bahili hapendezi bau weeh. Na sasa akishasuka sangita si unyumba hupati siku mbili zingine? Manake zinavyouma kama adhabu!mie kusuka siwezi kabisa manake ngozi yangu inauma kama ya mtoto. Na hayo mawigi kwa kweli nayaogopa. Mungu alijua tu akanijalia nywele nzuri natural!

ulipokuwa unaoa mdada expensive ulitegemea nini?
sijawahi suka nywele ya laki, sivai wig wala hizo brazilian......
nikisuka nywele expensive sana ni 30,000 hapo kila kitu kwa msusi, mimi napeleka kichwa tu.
haya maisha ni kuyajulia tu. ukitaka kusuka yeboyebo salon bab kubwa unalipa laki, nini nasuka mtaani nzuri kuliko hizo za masalon makubwa nalipa 15,000. tukitokelezea huyo aliyesuka kwa laki ananiuliza mimi wa 15,000 nimesuka wapi
 
Hahaha ngoja tusitoe siri. Ila ukiwaambia saluni unataka afro kinky hair wanakudoo. Lol. Inapendeza but unakaa saluni hadi unaota mizizi.
ha haaa, sasa hiyo ya kukaa salon foreva ndo inanishinda my dear....
bora kufanya kienyeji tu
 
poa rafiki,
nilikuwa navikagua hapa nimeona kimoja kimeanza kuweka ufa, ni sababu nzuri sana ya kukivunja, lol!
kwa sasa nimesuka, nikifumua tu nitafanya huo utaratibu....
stay tuned

Mngoni bahili kuliko wote! Au umeolewa na Mpare nini!
 
Hahahaha. Umenikumbusha drama za amina chifupa (rip). Yaani enzi zile alikuwa anaacha saluni laki hata 5! Anawaambia wamsukie weaving, wakimaliza anasema hajapenda. Hapo na kufumua upya ni hela analipia. Anasukwa hata 3 times. Na analipia weavings zote na asizozipenda anamuachia msusi. Wanamgombeaje? Nilikuwa nikimkuta saluni naandaa mbavu.
Kuna jirani yangu mmoja mke wake alimshinikiza apelekwe saloon kusuka hizo sangita. Jamaa akajipigapiga akampeleka (by the time mdada alikuwa mjamzito). Ila anarudi usiku anamkuta mwanamke anafumua nywele, kumuuliza kulikoni anamwambia aah sijazipenda tu!!

Kilichomsaidia mdada ni ujauzito la sivyo siku hiyo jamaa angemtoa ngeu!
 
Kuna jirani yangu mmoja mke wake alimshinikiza apelekwe saloon kusuka hizo sangita. Jamaa akajipigapiga akampeleka (by the time mdada alikuwa mjamzito). Ile anarudi usiku anamkuta mwanamke anafumua nywele, kumuuliza kulikoni anamwambia aah sijazipenda tu!!

Kilichomsaidia mdada ni ujauzito la sivyo siku hiyo jamaa angemtoa ngeu!
ha haaa, hiyo kiboko....
mimba sometimes deal......
ukiwa mjamzito mambo yako yanakunyookea tu, hata ukiamua nini jamaa litafanya.
ngoja nifanye mpango nipate nyingine, lol!
 
Hahahaha. Umenikumbusha drama za amina chifupa (rip). Yaani enzi zile alikuwa anaacha saluni laki hata 5! Anawaambia wamsukie weaving, wakimaliza anasema hajapenda. Hapo na kufumua upya ni hela analipia. Anasukwa hata 3 times. Na analipia weavings zote na asizozipenda anamuachia msusi. Wanamgombeaje? Nilikuwa nikimkuta saluni naandaa mbavu.

Na wewe kipindi hicho ulikuwa na Paw huyu huyu au pedeshee flan. Maana sijawahi kusikia kwenye bendi za muziki
wakiita Papaaaa Paw mutoto ya ndama, tajiri ya JF!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom