Wadada haya si ndo mnayoyataka?

Wadada haya si ndo mnayoyataka?

hizo tatu zinatosha hyo ya nne siitaki ongeza na anipigie pigie simu mara kwa mara umekunywa chai baby? umekula mamy? umekunya mpenzi? umeswaki mamy ? nk sio unajikausha kama haupo
Dah...., kumbe list ya mahitaji bado ni ndefu..!?
 
("Kwan wewe baba ake")........
Hebu tuanzie hapahapa, ni kweli wewe sio baba'ke.
Kwan baba'ke anamtaka ampe mapenzi au mtoto? Baba ake anamgeuzageuza kitandani???
Ukijibu haya utajua wajibu wako kwa mpz wako.

Wanaume wengi hamtaki kuwapa pesa wapenzi wenu kwa kisingizio kwamba sio mzazi wake, lakini think about jinsi ulivyomkuta kwao anang'aa nawe ukampenda ili awe mpz wako. Unadhani usipomtunza ataendelea kupendeza kama ulivyomkuta? Na kwann usimuhudumie ili hata mkiachana aendelee kuonekana mrembo wenzio wajitwalie??

Humtunzi wakwako na bado ukiwakuta wa wenzio barabarani wanang'aa unawatamani. Mwili haujengwi kwa tofali kaka zangu.
Ni misosi, mavazi na good care.

Acha kumzeesha mwenzio, mwanamke anahitaji matunzo na kama huwezi bas achana na mabinti wa watu.
Cc Madame B charty vanmedy Kafman
 
Usiishi kwa kuiga na usimfanye mkeo ama mpenzio sijui mchumba wako ajione kuwa ni movie star. Ishi maisha halisi. Ya kwenye movies yaache huko huko.
Ahsante sana mkuu wenye lugha yao huwa wanasema "YOU CALL A SPADE BY ITS NAME NOT A BIG SPOON"
 
The truth is.... everyone is going to hurt you....you have got to find one worthy suffering for.

Hauwezi mpatia mpenzi kila kitu ili aridhike.......atahitaji kwingine tu. To err is human......

Kuwa na moyo mgumu......pia kuwa na moyo laini kama sufi vile.....balance is the key. Ukitegemea mambo makubwa sijui uaminifu kwa asilimia 100 utaumia moyo tu.

Kama aliweza kupenda mwanzo, sasa hivi anasema anakupenda wewe, basi inawezekana kesho/keshokutwa akampenda mwingine. See?

Ushauri wangu, kama mpenzi wako amekwambia anakupenda na ukajua hivyo.....basi na wewe mpende sana tu......siku akikuacha mwache aende. Learn to let it go.
 
Well said mkuu
 
Kuwa mkali sana pindi afanyapo utumbo.

Ukimchekea-chekea atakuona sawa na mwanamke mwenzake.
 
Mwanamke hafadhiliki kwa lolote,kama mandela alisalitiwa na alikua prezoo itakua wewe? Wake wangapi wa mabosi pesa ipo,kila kitu mswano na masela wanakonga nyoyo tu,mtaani ninapoishi kuna mjeshi ana magari sita ndani prado,v8,shangingi,murano,na mengine lakini masela tu wanakonga nyoyo mkewe,tena wanalala na kunya ghorofani,
wanawake hawaeleweki hata kidogo,kama huamini kuna siku utaamini.
 
Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..
1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi.
2. Mfikishe kileleni muwapo 6×6. Mwanamke ukimkamata kunako 6×6 basi huyo kukuacha inakua ni ngumu sana.
3. Mpe care za kutosha. Mwanamke anahitaji caring nzuri na kumuona yeye ndo kila kitu.
4.Msifie mara kwa mara. Wanawake wanapenda kusifiwa,wanakua wanajiamini sana wakipata sifa kutoka kwa mpenzi wake.

Dada zangu kuna kingine nimesahau hapo?? Naamini hivyo ndo vitu vikuu.

Sasa kwa mwanamke ambae utampatia hivyo vitu hapo na bado akazingua huyo atakua hajatulia a.k.a pasua kichwa.

pokea busu langu langu hakika umenena vyema..nikimpata wa hivyo hatajutia kunioa...
 
hao viumbe we waache kama walivyo anaweza ku act anakupenda siku akionesha makucha yake afu ndo ukute ulishazamisha miguu yote na mikono kila kitu unaweza ona dunia ina muv anti clockwise
Hahaaaa!!!! Inaonekana mjomba yalikukuta
 
Mwanamke hafadhiliki kwa lolote,kama mandela alisalitiwa na alikua prezoo itakua wewe? Wake wangapi wa mabosi pesa ipo,kila kitu mswano na masela wanakonga nyoyo tu,mtaani ninapoishi kuna mjeshi ana magari sita ndani prado,v8,shangingi,murano,na mengine lakini masela tu wanakonga nyoyo mkewe,tena wanalala na kunya ghorofani,
wanawake hawaeleweki hata kidogo,kama huamini kuna siku utaamini.
Hahaaaa!!!!! Nimecheka kinoma wanalala na kunya ghorofan,ila waonye washkaj mkali,mke wa mjeda sumu
 
Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..
1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi.
2. Mfikishe kileleni muwapo 6×6. Mwanamke ukimkamata kunako 6×6 basi huyo kukuacha inakua ni ngumu sana.
3. Mpe care za kutosha. Mwanamke anahitaji caring nzuri na kumuona yeye ndo kila kitu.
4.Msifie mara kwa mara. Wanawake wanapenda kusifiwa,wanakua wanajiamini sana wakipata sifa kutoka kwa mpenzi wake.

Dada zangu kuna kingine nimesahau hapo?? Naamini hivyo ndo vitu vikuu.

Sasa kwa mwanamke ambae utampatia hivyo vitu hapo na bado akazingua huyo atakua hajatulia a.k.a pasua kichwa.
Ukitaka kumchanganya mwanamke, timiza kwa ukamilifu hilo namba mbili na mengine yaache...
 
“Despite my thirty years of research into the woman soul, I have not yet been able to answer the great question that has never been answered: What does a woman want?” » Sigmund Freud
 
muda,upendo wako na kujali only that is what i need from future husband
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom