Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
- Thread starter
- #121
Duu wet dream tena..Kwenye hiyo dream ndo nakuota wewe sasa. Uko vizuri balaaaabila shaka unaota hakika tena itakuwa ni wet dream
Duu wet dream tena..Kwenye hiyo dream ndo nakuota wewe sasa. Uko vizuri balaaaabila shaka unaota hakika tena itakuwa ni wet dream
Asante.hizo tatu zinatosha hyo ya nne siitaki ongeza na anipigie pigie simu mara kwa mara umekunywa chai baby? umekula mamy? umekunya mpenzi? umeswaki mamy ? nk sio unajikausha kama haupo
Duu wet dream tena..Kwenye hiyo dream ndo nakuota wewe sasa. Uko vizuri balaaaa
PoleKazi unakuwa huna muda wote kujipendekeza kwa mtu kisa ye nan?
Ahsante habar za hukoPole
Classic womanndo maanake yaani kama hunijali hatutaelewana kabisa wala sikai na wewe siku mbili hata kama nimekupenda vipi
Basi ndo imenitokea hivyo.. Nime-assume upo kama huyu mlimbwende hapa chini. Sijui ni kweli??you can't dream about me its like winking a beatiful girl in dark place
Kazi bure kabisa x 100upendo kwanza mkuu haya mengine ndo ya kushikilia ule upendo mtu kama hakupendi hata kama umpe nini ni kazi bure
Basi ndo imenitokea hivyo.. Nime-assume upo kama huyu mlimbwende hapa chini. Sijui ni kweli??![]()
Huwa sikosei nikumuota mtu..Umejaaliwa balaakwa shape umenipatia ndugu..haaa
mbona unanijibu sana mkuu unanitaka?Kazi bure kabisa x 100
Huwa sikosei nikumuota mtu..Umejaaliwa balaa
mbona unanijibu sana mkuu unanitaka?


unajua siku nzima ww ndo utakua wa 1 kunifanya nicheke ..dah asante misstatizo huwa linakuwaga kumaintain kumpa hayo mambo kwa mda mref, na kuna wale wachache ambao hta umpe dunia nzima bdo hataridhika 100%
yaani umeniganda siku nzimaunajua siku nzima ww ndo utakua wa 1 kunifanya nicheke ..dah asante miss
haya bnanaona imetokea tu hivo miss
Mkuu ukifanikisha kumtimizia namba 1, 3 & 4 hiyo namba 2 ni kugusa tu.Kwa hiyo wewe hata usipofikishwa poa tu ilimradi hayo mengine fresh..