Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
- Thread starter
- #101
Usikute mm ndo wa ubavu wakosiwezi kukucheki nasubiria Mwenyezi Mungu anipe wangu wa ubavu muda utakapofika..bado namsubiri sichoki kumsubiri....
Usikute mm ndo wa ubavu wakosiwezi kukucheki nasubiria Mwenyezi Mungu anipe wangu wa ubavu muda utakapofika..bado namsubiri sichoki kumsubiri....
Mgegedo hutakiimuda,upendo wako na kujali only that is what i need from future husband
Mgegedo hutakii
Usikute mm ndo wa ubavu wako
Wenzako wanaweka mgegedo separate..Otherwise utapa ambae atakupa hivyo vitatu then hicho kimoja ukakikosa au ukakipata usiridhike. So nakushauri kiwekee section yakevitakuwepo ndani ya hayo niliyoyataja
Aliyekuambia nani?? Wa ubavu anapatikana popote. Shauri yako utakosa bahati hivi hiviumeanza kujihisi....sidhani maana wa ubavu hapatikan kwenye mitandao ,,🙁
umeanza kujihisi....sidhani maana wa ubavu hapatikan kwenye mitandao ,,🙁
Aliyekuambia nani?? Wa ubavu anapatikana popote. Shauri yako utakosa bahati hivi hivi
Basi ndo mm ushanipata.. Yani hapa sijakuona nishachanganyikiwa uwiiisiamini wa ubavu wa mtandaoni hata na wala sijawahi kuwaza kama kuna siku nitakutana nae mitandaoni...
Mkuu unanikimbizia ndege wangu..Kweli kabisa
We Valentina unanitafuta ubaya tu,mwanamke nimhudumie yote hayo sawa ila na ye kama na Gap anisaidie sio kupeleka kwao tu,kuhusu 6x6 hata mwanamke nae anatakiwa anikune tatizo lenu wanawake jukumu hili huwa mnatuachia sisi wanaume tu.......unakuta amekaa tu kifo cha mende hata kukukuruka kidogo hamna!!
Hapo sasa umeongea kama Obama saba pamoja. Kweli kabisa take 5Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..
1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi.
2. Mfikishe kileleni muwapo 6×6. Mwanamke ukimkamata kunako 6×6 basi huyo kukuacha inakua ni ngumu sana.
3. Mpe care za kutosha. Mwanamke anahitaji caring nzuri na kumuona yeye ndo kila kitu.
4.Msifie mara kwa mara. Wanawake wanapenda kusifiwa,wanakua wanajiamini sana wakipata sifa kutoka kwa mpenzi wake.
Dada zangu kuna kingine nimesahau hapo?? Naamini hivyo ndo vitu vikuu.
Sasa kwa mwanamke ambae utampatia hivyo vitu hapo na bado akazingua huyo atakua hajatulia a.k.a pasua kichwa.
Mimi naamini ukiwa na mpenzi wako wa kike ukimtimizia haya basi roho yake itatulia..
1. Mpatie hela ya kutatua mahitaji yake. Usisubiri akuombe mana wengine kuomba hawawezi.
2. Mfikishe kileleni muwapo 6×6. Mwanamke ukimkamata kunako 6×6 basi huyo kukuacha inakua ni ngumu sana.
3. Mpe care za kutosha. Mwanamke anahitaji caring nzuri na kumuona yeye ndo kila kitu.
4.Msifie mara kwa mara. Wanawake wanapenda kusifiwa,wanakua wanajiamini sana wakipata sifa kutoka kwa mpenzi wake.
Dada zangu kuna kingine nimesahau hapo?? Naamini hivyo ndo vitu vikuu.
Sasa kwa mwanamke ambae utampatia hivyo vitu hapo na bado akazingua huyo atakua hajatulia a.k.a pasua kichwa.
Basi ndo mm ushanipata.. Yani hapa sijakuona nishachanganyikiwa uwiii