Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,963
- Thread starter
- #41
Mkuu vichwa kuku wapo ila si wote.. Miss Natafuta mbona anajielewa???huku chuga tunawaitaga viumbe kichwa cha kuku!
Mkuu vichwa kuku wapo ila si wote.. Miss Natafuta mbona anajielewa???huku chuga tunawaitaga viumbe kichwa cha kuku!
Kwa hiyo wewe hata usipofikishwa poa tu ilimradi hayo mengine fresh..Mim namba 2 sio lazima saana.....Ila nkimpata wa kunipa # 3,1,4... walaah nitatulia kabsaaaa
Hizo cases tu mkuu...Nway tunatakiwa tuishi nao kwa akiliUnakumbuka Samson ilikuwaje kwa delila? Wakamscolpion
hao viumbe we waache kama walivyo anaweza ku act anakupenda siku akionesha makucha yake afu ndo ukute ulishazamisha miguu yote na mikono kila kitu unaweza ona dunia ina muv anti clockwiseMkuu vichwa kuku wapo ila si wote.. Miss Natafuta mbona anajielewa???
Mim ni bora uwe unanijali kuliko kunifikisha...... maana kwa hayo Macare ntalidhika jinsi ulivyo hata ukipiga kmoja ukalala poa tuu.... kuliko unisugue weeeee alafu macare /mahaba hunipi hapana kwakweli ,ipo siku nitakuacha tutu.Kwa hiyo wewe hata usipofikishwa poa tu ilimradi hayo mengine fresh..
("Kwan wewe baba ake")........Mwanamke umuhimu wake kwangu ni kunipa mapenzi na mtt nikitaka,hayo mengine ajiongze mwenyew kwn mm baba yKe.
Hapa ni tstizo![]()
Na ndo maana unagongewa.... nakwambia hivi na utazidi kugongewa .Mwanamke umuhimu wake kwangu ni kunipa mapenzi na mtt nikitaka,hayo mengine ajiongze mwenyew kwn mm baba yKe.
Aisee mko tofautiiii..Wengine ukimpa dushe la maana ndo anaridhika zaidi.Mim ni bora uwe unanijali kuliko kunifikisha...... maana kwa hayo Macare ntalidhika jinsi ulivyo hata ukipiga kmoja ukalala poa tuu.... kuliko unisugue weeeee alafu macare /mahaba hunipi hapana kwakweli ,ipo siku nitakuacha tutu.
Kweli mkuuKazi unakuwa huna muda wote kujipendekeza kwa mtu kisa ye nan?
Umesema vyema..("Kwan wewe baba ake")........
Hebu tuanzie hapahapa, ni kweli wewe sio baba'ke.
Kwan baba'ke anamtaka ampe mapenzi au mtoto? Baba ake anamgeuzageuza kitandani???
Ukijibu haya utajua wajibu wako kwa mpz wako.
Wanaume wengi hamtaki kuwapa pesa wapenzi wenu kwa kisingizio kwamba sio mzazi wake, lakini think about jinsi ulivyomkuta kwao anang'aa nawe ukampenda ili awe mpz wako. Unadhani usipomtunza ataendelea kupendeza kama ulivyomkuta? Na kwann usimuhudumie ili hata mkiachana aendelee kuonekana mrembo wenzio wajitwalie??
Humtunzi wakwako na bado ukiwakuta wa wenzio barabarani wanang'aa unawatamani. Mwili haujengwi kwa tofali kaka zangu.
Ni misosi, mavazi na good care.
Acha kumzeesha mwenzio, mwanamke anahitaji matunzo na kama huwezi bas achana na mabinti wa watu.
Unemployed wataiweza sana hiyo kazihizo tatu zinatosha hyo ya nne siitaki ongeza na anipigie pigie simu mara kwa mara umekunywa chai baby? umekula mamy? umekunya mpenzi? umeswaki mamy ? nk sio unajikausha kama haupo
Kabisa mkuuMwanamke haridhiki bora ufanye kitu unachokipenda wew
Pole Yao au labda hawajawahi kukutana na macare..... kujaliwa kuna raha yake bhana maana inakufanya kichwani mwako umuwazee yeye tu suruali zingne zote unaziona sketi hahahahahAisee mko tofautiiii..Wengine ukimpa dushe la maana ndo anaridhika zaidi.