Wadada haya si ndo mnayoyataka?

Wadada haya si ndo mnayoyataka?

Mim namba 2 sio lazima saana.....Ila nkimpata wa kunipa # 3,1,4... walaah nitatulia kabsaaaa
we unaonesha hupendi kukatwa na unafanyaga ilimradi tu mchizi kataka. Utakuwa na shida mno!
 
mambo mengi katika mahusiano utakuta watu wanafanya kwa kuigiza na huwezi kuigiza maisha yako yote pia wengine wanaingia wakiwa na matarajio fulani. hapo ndipo songombingo huanza baada ya kuona alivyokuwa anafikiri ni tofauti na uhalisia. pia uongo huwa ni chanzo cha kuharibu hayo yote. utaweza ukatimiza ila inapokuja kugundulika kuna uongo katika mahusiano yenu usitegemee kama mtafika mbali
 
Pole Yao au labda hawajawahi kukutana na macare..... kujaliwa kuna raha yake bhana maana inakufanya kichwani mwako umuwazee yeye tu suruali zingne zote unaziona sketi hahahahah
Hahaaaa..Eti suruali zote unaziona sketi. Natumai uliye nae anakupa hayo ma care.
Ukimpata anaependa kugegedana na ma care anakupa hapo vipi mana nnavyoone kupendelei huo mchezo.
 
Hahaaaa..Eti suruali zote unaziona sketi. Natumai uliye nae anakupa hayo ma care.
Ukimpata anaependa kugegedana na ma care anakupa hapo vipi mana nnavyoone kupendelei huo mchezo.
Hahaha nkimpata wa kunipa vyote swadataaa ingawa ni vigum saana....... Na sio kwamba sipendelei mchezo hapana naupenda saana tu , ila sijaupa kipaumbele kiasi hicho kwamba hata nisiporidhishwa nianze kuangaika .
 
Inamana kwa sasa huna mtu??
 
Hapa ni tstizo
ff50e4c0e2b95bf93aca779880e9035f.jpg
Mugabe bhana , ni namba nyingine!
 
Uuuupsi mwanaume WA kiivi mwenye hizi sifa anapatikana sayar gani vile ha ha kwa maishA ya kibongo bongo atafute pesa plus tress za magu heeee na familia zetu za watu elfu kumi ukufanyie hayo yote mtu mmoja .!!!!!!!!!!!!!;;;
 
Inawezekana ni kujipanga tu @ ICHANA
 
Pia ukimpa uhuru saana anadanganywa na marafiki zake wa kike! Wanampiga short
Mpe uhuru alaf umfanye yeye ndo rafiki yako mkubw,Niamini hatodanganyika, na atakayokua anashauriwa na mashosti zake atakwambia yote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom