Wadada biashara matangazo..

Wadada biashara matangazo..

d5639029f1e88f7247addacc2a088063.jpg

Hivi mtu anaanzaje kuvaa hivi halafu anaenda ofisini?? Yani kufuli lote linaonekana. Kweli biashara matangazo.
Apo Baraka da Prince kashajichotea kiulaini
Mkuu punguza mzuka..Mtoto anahitaji maneno matamu huyo..Ukizingua utamkosa
 
Ila amejaaliwa maana huko nyuma si kitoto anaweza fanya niufurahie usiku wangu.
 
Mimi uvaaji wangu ni wa staha.
Vijana wasasa ni ngumu sana kuwabadilisha kwasababu media zinawachochea wawe hivo.
Cha msingi ni yeye mwenyew ajitambue kuwa anapovaa vibaya anajidhalilisha.
Maadili tunayolelewa nayo pia yanachangia japo kuwa wanaobadilika kutoka na mazingira tunayoishi.
Kama mtu ni rafiki yangu na tunaelewana namwambia kabisa ila tofauti na hapo nakuwa mtazamaji tu.
Kwa hali ilivyo sasa ngumu sana mtu kukuelewa na inahitaji nguvu nyingi kumbadilisha mtu.
Kama tu kwenye nyumba za ibada mtu anavaa kituko wala haogopi wewe utamwambia nini

I got u Madam feitty!!

Ujitahidi sana wanao wasije kuathiriwa na hizo media unazozisema kuwa ndiyo chachu ya sisi kuenenda vibaya.Kwa kufanya hivyo utakuwa umesaidia kwa kiwango kikubwa mno.

Mazingira tunayoyaishi ndiyo yanam-condition mtoto katika namna yeyote ile.Jamii yetu imeharibika mno,Kuanzia Maadili,Mienendo na kila aspects zote za kijamii iwe kisiasa,Kiutamaduni,Kiimani,Kimahusiano nk.

Ili mtoto apate kilicho bora ni sharti mazingira anayoyaishi nayo yawe bora hata zaidi ya Mtoto.Siku hizi Naumia mno kwakuwa mtoto kabla ya kwenda shule Mama anamuandalia chai akiwa na Nguo za ajabu,Dada naye kavaa nguo za kulalia,Akiwa njiani ndiyo hatari.Kuanzia kwenye daladala anaona mapaja ya dada zetu,Shule mwalimu katupia Kimini na mpasuo wa maana.Akirudi nyumbani akifungulia Redio ni full mapenzi,Mara Matangazo ya show za kina naniliih.Akifungulia video ni mambo ya faragha,Video za kimagharibi,Akishika gazeti ni udaku! Udaku!! mwanzo mwisho.

Yaani ni Uchi!! Uchi!! Uchi! kila Mahali.Sasa unajiuliza,Je tutazalisha raia wa namna ipi kama muda wote wanachokiona sicho kinachopaswa kuonekana??.Naomba kwa pamoja tuyapige vita MAVAZI YA DADA ZETU kwani madhara yake ni mengi kuliko chochote.
 
Wadada wanajisahau sana uvaaji wako tuu unaeleza zaidi ya kuongea kwako. Unajua kabisa huyu anatangaza au kajaliwa mashallah
 
Lakini jamani!.... Mukulu si aliagiza sukari isifichwe!... Sasa vipi tena?!...
 
Jana kuna data zimetoka, tanzania ina IDADI ya WAGONJWA WA AKILI, 400,000+ na kwa uzi huu, siwezi kubisha.
 
Kumbe mkuu umenipata vizuri eeeh coz ukizitazama kila cku live live unazizoea cku ya mechi unapiga kawaida 2 coz huna ugeni nazo tofaut na miaka ile m2 akiona chupi lazima mnara usiname sasa ivi unafunua tako ndio unaona chupi
Noma sana mdau..
 
Mimi uvaaji wangu ni wa staha.
Vijana wasasa ni ngumu sana kuwabadilisha kwasababu media zinawachochea wawe hivo.
Cha msingi ni yeye mwenyew ajitambue kuwa anapovaa vibaya anajidhalilisha.
Maadili tunayolelewa nayo pia yanachangia japo kuwa wanaobadilika kutoka na mazingira tunayoishi.
Kama mtu ni rafiki yangu na tunaelewana namwambia kabisa ila tofauti na hapo nakuwa mtazamaji tu.
Kwa hali ilivyo sasa ngumu sana mtu kukuelewa na inahitaji nguvu nyingi kumbadilisha mtu.
Kama tu kwenye nyumba za ibada mtu anavaa kituko wala haogopi wewe utamwambia nini
Kama nitapita hapa bila like nitakuwa sijakutendea haki
 
Back
Top Bottom