Wadada biashara matangazo..

Wadada biashara matangazo..

Wewe mshamba kweli!!.......wewe ni mwanamke wa Dar kweli???........Mimi huwa naambiwa eti huko Dar huwa hainaga ushemeji,eti shem ni kweli?
Mkuu punguza mzuka..Mtoto anahitaji maneno matamu huyo..Ukizingua utamkosa
 
Kuna mmoja nilikuwa nae Leo kwenye dala dala aseee ni aibu. Nikasema kimoyo moyo shetani katika ubora wake
 
Back
Top Bottom