Wadada biashara matangazo..

Wadada biashara matangazo..

Kuna ile hash tag [HASHTAG]#nguo[/HASHTAG] yake mtindo wake
Naona inahusika hapo,
Usijekuta mtu wa namna hiyo anakesha kwenye maombi ili apate mume!!
 
Hapana mkuu...mimi ni mwanaume nnaueamini katika uhusiano na mwanamke mmoja!! Nikipata ela nitajenga kiwanda cha nguo za kuwasitiri....hii picha inaonyesha demand ni kubwa na supply ni ndogo!!
Mkuu unamaanisha saivi nguo za kuwasitiri zimeisha ndo mana wanavaa hivyo?? Hawa hata nguo zote za madukani uwawekee za kusitiri hawatanunua watatengeneza za kwao
 
Shukrani Mkuu!!

Huwa unafanya yapi kutusaidia juu ya hili?.Je unawashauri kuwa wasivae hivyo?.

Unadhani kipi kifanyike ili tusiendelee kutembea nusu uchi?.
Mimi uvaaji wangu ni wa staha.
Vijana wasasa ni ngumu sana kuwabadilisha kwasababu media zinawachochea wawe hivo.
Cha msingi ni yeye mwenyew ajitambue kuwa anapovaa vibaya anajidhalilisha.
Maadili tunayolelewa nayo pia yanachangia japo kuwa wanaobadilika kutoka na mazingira tunayoishi.
Kama mtu ni rafiki yangu na tunaelewana namwambia kabisa ila tofauti na hapo nakuwa mtazamaji tu.
Kwa hali ilivyo sasa ngumu sana mtu kukuelewa na inahitaji nguvu nyingi kumbadilisha mtu.
Kama tu kwenye nyumba za ibada mtu anavaa kituko wala haogopi wewe utamwambia nini
 
Endelea kuwaombea watabadilika..
 
Attachments

  • 1476035700561.jpg
    1476035700561.jpg
    28.1 KB · Views: 43
Mnh ana wa kwake huyo, nyie hamumuoni? Ndio keshachukua Mali,nyie kuleni ugali na picha ya samaki
 
Back
Top Bottom