Wadada biashara matangazo..

Wadada biashara matangazo..

INANUKIA KWA KASI HII STAILI JAPO SIJAJUA LENGO LAKE
 
Hivi mtu anaanzaje kuvaa hivi halafu anaenda ofisini?? Yani kufuli lote linaonekana. Kweli biashara matangazo.

Yawezekana, ila hata wakiwa na waume au wakaka bado wanazidisha kutaka kutembea uchi, wawe wazuri au la, mie naona tatizo liko kwetu sie wanaume, je hatuwatoshelezi wanawake zetu, au hatuwatizami na kuwapenda vya kutosha?! Au labda ndio independence na freedom kwa wanawake, wako huru kuonyesha miili yao, maana ni yao..labda wanaume tusilalamike, ila naamini kama wanaume tumekuwa wachache sasa wanawake wanashindana na kwa kuvaa hivi wakituambia, please look at me..

images.jpg
index5.jpg
images11.jpg
index2.jpg
index7.jpg
index1.jpg
images6.jpg
images22.jpg
index00.jpg
index-.jpg
 
Mdada wa dar kavaa limchup la kinjeree[emoji23]tangazo la biashara limeharibika. Zile za vimikanda si ndio nzur kwenye joto.
 
Kama ni tangazo basi hili ni bango kubwa kama yale wanayoweka bara barani , maana duhhh kila kilichotakiwa kufichwa kimewekwa hadharani
 
Kama ni tangazo basi hili ni bango kubwa kama yale wanayoweka bara barani , maana duhhh kila kilichotakiwa kufichwa kimewekwa hadharani
Kuna vingine hujaviona mkuu..
 
Back
Top Bottom