Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,941
- 3,964
- Thread starter
- #21
Shape analo mkuu ila angejisitiri basi...Imagine anapita mtaani hivyo si ni shidaa tu. Atafanya watu wagongwe na magariDaah!!....ila ana shepu nzuri![emoji39]
Shape analo mkuu ila angejisitiri basi...Imagine anapita mtaani hivyo si ni shidaa tu. Atafanya watu wagongwe na magariDaah!!....ila ana shepu nzuri![emoji39]
Kwangu hajapendeza..Namuona very cheap na anawadhalilisha wadada wenzakeHapana siwezi kabisa ila naona yeye kapendeza au wewe unaonaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Hivi mtu anaanzaje kuvaa hivi halafu anaenda ofisini?? Yani kufuli lote linaonekana. Kweli biashara matangazo.
Umesema vyema mkuu..Hawa hawajielewiUkiona nusu uchi,ujue kashindwa kuuza sura-Fareed Kubanda.
Tatizo ni kwamba huu ni udhaifu.Wanawake ni viumbe ambao tunapaswa kuwaheshimu mno kulingana na jinsi walivyoteseka kuhusu sisi ila wanavyoji-condition ndipo tunapowadharau na kuwaona hawafai huku wengine wakiishia kuwapa ahadi zisizotekelezeka pasipo kuwaoa kama viongozi wa nchi yetu (Yetu??).
Huwa nipo tofauti kidogo,Udhaifu wangu ni kwa wanawake wanaovaa kiheshima (Yaani huwa nikimwona mwanamke kavaa nguo yake ndefu,Hajavaa wigi,Kucha za bandia,Kope,Wowowo nk Nadata!!!!).Lakini hawa wanaovaa nusu uchi na kutuonyesha kila kitu hadharani (Window shopping) nawaona wadhaifu tu.
Na hii ndiyo maana hutupelekea sisi kutodumu nao katika mahusiano kwa muda mrefu.Kama huyu katika picha ni vigumu sana kudumu na mwanaume,Mwanaume akimpata anajichapia zake then anasepa.Utaanzia wapi kumuoa kama huyu kama siyo unajitafutia B.P kwa makusudi?
Wanawake wazuri wanajisitiri miili yao,Hawavai vitu fake (Hawa-faking reality,wanaishi uhalisia),Hawa wabaya ndiyo wanaovaa huu uchafu.
Uzuri upo kwa ndani,kwa nje mnajiongopea-Fareed Kubanda.
Mkuu hebu zoom hilo dushe la jamaa kwenye hiyo picha tuangalie kama limekasirika tayari![emoji1]Angalia usiaibike mkuu..
Feitty kwa kweli mnatutesa..Ila wewe najua mstaarabu huwezi vaa hivyoWanaume poleni.
Mnavumilia mengi kwakweli.
Hahaaaaaaaa...Mkuu simu yako haizoom??Mkuu hebu zoom hilo dushe la jamaa kwenye hiyo picha tuangalie kama limekasirika tayari![emoji1]
Hapo upo sawa kabisaKwangu hajapendeza..Namuona very cheap na anawadhalilisha wadada wenzake
Wanaume poleni.
Mnavumilia mengi kwakweli.
Usijaribu kuvaa hivyo bana..Uvae ukiwa ndani na bby wako.Hapo upo sawa kabisa
Usawa wa magu huu ukikitana na demu wa hivyo unhonga visenti vyote ulivyo navyo. Ni mateso tu kwa kweli.Hawa wanawake wanafanya maisha yanazidi kuwa magumu pumbavuuuuuu
Siwezi kuvaa kabisa nimekuelewa sana na wala sijawahi kuvaaUsijaribu kuvaa hivyo bana..Uvae ukiwa ndani na bby wako.
Labda ofisi binafsi ingekuwa ofisi zilizopo chini ya wizara yeyote huyu kazi angekuwa hana angeenda fuga kuku huuko mtaa wa saba![]()
Hivi mtu anaanzaje kuvaa hivi halafu anaenda ofisini?? Yani kufuli lote linaonekana. Kweli biashara matangazo.