Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,022
- 26,356
Huwa inanikera Sana hii ishuNiliingia tinder nikamtokea manzi mmoja akajinia juu eti yeye sio malaya bali anauza nguo. Nilikasirika nikamuuliza umeona hii ni Kikuu au Kupatana.com
Mtu unamtokea tinder anadai yeye hayupo hapo kwa mahusiano
Wadada wa bongo bwana viazi kweli kweli