Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,875
Kwema Preta
Kwema kabisa.......baridi kali sana.......
Kwema Preta
Pole sana Preta... Vipi unahitaji msaada wa joto japo hata Kwa mbali tu.Kwema kabisa.......baridi kali sana.......
Pole sana Preta... Vipi unahitaji msaada wa joto japo hata Kwa mbali tu.
Haahaa,kwa hiyo wanauzaWewe unataka amlishe nani ili wewe ukabembee free?ukiona vyaelea..vimeundwa.
Yani kavocha ka elfu 5 nako kanakuuma?watu tumehonga ma VX na tuko kimya tu huku!
Hapo kwenye uzinzi ni patamu sanatoa tu vocha na mengineyo sababu uzinzi una gharama zake
Tatizo hakuna anayekuwa muwazi kwa mwingine. Watajifanya watakatifu wakati kila mtu yuko after something.
Acha maneno ya kikekike na weweungemwambia mwajuma tu kua hela huna kuliko kutujazia mada humu....
ila pole sana!
usipende vitu vya bei kali
mimi mwanammkeAcha maneno ya kikekike na wewe
Ni kweli kabisa!Tatizo hakuna anayekuwa muwazi kwa mwingine. Watajifanya watakatifu wakati kila mtu yuko after something.
Ni mwendo wa kuviziana tuTatizo hakuna anayekuwa muwazi kwa mwingine. Watajifanya watakatifu wakati kila mtu yuko after something.
Acha maneno ya kejerimimi mwanammke
kejeli ni sehemu ya maishaAcha maneno ya kejeri
Tupo bhanaaaaaaaa ila nyie ndio mnaturingishia asali bhana,mara niko Barbados mara Lanzarote mara grand canaria yaani ni sheeeeeeeeeeeda tu,tukilalamika oooh hakuna wanaume siku hizi oooh wanaume wa Dar,basi wapeni Wachina maana hakuna namna coz siku hizi kila kitu ni cha Mchina,ngoja mzalishwe watoto wenye macho kama wameumwa na nyuki.Aiseeee.....kwa namna hii.........
Wanaume wameisha kabisa.......hawapo tena.......