kalisto Godfrey
New Member
- Nov 1, 2016
- 1
- 0
wanazingua sanaAcha wasiwasi kijana hilo ni jukumu la kawaida just kujipanga
wanazingua sanaAcha wasiwasi kijana hilo ni jukumu la kawaida just kujipanga
We acha utani bhana,yaani asiniombe harafu nilalamike?Acha mawazo hayo akikuomba unalalamika asipokuomba unalalamika mbona hamtabiriki nyie
Siku jamaa alikuja lalamika manzi ake hamuombi hela so akataka ushauriWe acha utani bhana,yaani asiniombe harafu nilalamike?
Huyo jamaaa ni mburura hasaaaSiku jamaa alikuja lalamika manzi ake hamuombi hela so akataka ushauri
So yupo njia panda eti anamwombaga nani hela za Vocha, na kadhalika
Mapenzi ni Sanaa pana sana inahitaji ubunifu na utuliviHuyo jamaaa ni mburura hasaaa