Wadada acheni kuendekeza njaa

Wadada acheni kuendekeza njaa

Kwa hiyo kabla yangu alikuwa analishwa na nani? Au ndio mgeni njoo mwenyeji apone?
Kwa hiyo unataka wenzako waendelee kumlisha we ukamege bure tuu? Alafu nyie wanaume hii tabia ya kulalamika imezidi sana sasaiv. Ulishaambiwa chochote unachotaka hapa chini ya jua lazima jasho likutoke. Utakula kwa jasho we mwanaume. hata ardhi yenyewe Mungu alitoa bure lakini mnauziwa. Mnamkosea Mungu ivo mnavolialia. Kuweni kama wanawake jukumu lao la kwenda leba wanalikamilisha vizuri bila kulialia. Mwininge umri ukienda bila mtoto anamlilia Mungu ili akamilishe jukumu alilopewa. Nyie vipi banaa.
 
cha msingi na secondary
kama hutaki kikosi cha mizinga.
fanya show time ukitongoza tu unampa hela na yeye anakupa mzigo biashara imeisha.....kufatwa fatwa hakunaga hapo

ni tit for tat
 
Yani imekuwa ni kero,unakuta msichana unamtongoza mchana na anakubali, ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.

Sasa hadi mtu unajiuliza kwamba,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jamani acheni njaa hizo.
njoo huku kwetu kuna mademu wakali unajipigia bure.. usihangaike na hao mademu njaa.. aka malayazzzz..ukiona mwanamke anaomba pesa mpige chini..
 
Yani imekuwa ni kero,unakuta msichana unamtongoza mchana na anakubali, ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.

Sasa hadi mtu unajiuliza kwamba,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jamani acheni njaa hizo.
tatizo mnaomba huko nyuma aka kabang.. kama ni "K" tuu hawezi kukuomba pesa..
 
Kwa hiyo unataka wenzako waendelee kumlisha we ukamege bure tuu? Alafu nyie wanaume hii tabia ya kulalamika imezidi sana sasaiv. Ulishaambiwa chochote unachotaka hapa chini ya jua lazima jasho likutoke. Utakula kwa jasho we mwanaume. hata ardhi yenyewe Mungu alitoa bure lakini mnauziwa. Mnamkosea Mungu ivo mnavolialia. Kuweni kama wanawake jukumu lao la kwenda leba wanalikamilisha vizuri bila kulialia. Mwininge umri ukienda bila mtoto anamlilia Mungu ili akamilishe jukumu alilopewa. Nyie vipi banaa.
Acha kutetea ujinga.kwani mungu alisema ukinipa papuchi nayo ni lazima nikupe hela?? Kama ni raha tunapata wote
 
We tafuta helaaaaa acha kulialia lazima ule kwa jasho. Kama hutaki kutoa hela achana na papuchi sabani kibao bei chee.
 
cha msingi na secondary
kama hutaki kikosi cha mizinga.
fanya show time ukitongoza tu unampa hela na yeye anakupa mzigo biashara imeisha.....kufatwa fatwa hakunaga hapo

ni tit for tat
Kwa hiyo na qewe ndivyo unavyofanyiwa?
 
Mshahara wa dhambi nimauti................
 
Yani imekuwa ni kero,unakuta msichana unamtongoza mchana na anakubali, ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.

Sasa hadi mtu unajiuliza kwamba,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jamani acheni njaa hizo.
Acha wasiwasi kijana hilo ni jukumu la kawaida just kujipanga
 
Kwani raha ya ku-do si wataiona wote
una uhakika hiyo raha utampa kwa kumpandisha mlimani? mana na hiyo nayo ni changamoto kwa upande wetu huu kuhakikisha kileleni anapanda...!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom