BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Wakisema wanaume wachache ni kwa sababu ya mambo kama haya.....
Hahaha tatty katika ubora wakoWanaume bana. Sasa wewe umemtongoza dem...kesho yake unataka game. Yeye kesho yake au usiku wake kakuomba vocha unamshangaa. Km unamtaka mwanamke kwa ajili ya sex..unashangaa nini yeye akikukubali kwaajili ya hela zako?
PretaAiseeee.....kwa namna hii.........
Wanaume wameisha kabisa.......hawapo tena.......
Eti tunaomba gemu as if nyie hamsikiii utamuu...Wanaume bana. Sasa wewe umemtongoza dem...kesho yake unataka game. Yeye kesho yake au usiku wake kakuomba vocha unamshangaa. Km unamtaka mwanamke kwa ajili ya sex..unashangaa nini yeye akikukubali kwaajili ya hela zako?
Tumebaki wachache.Aiseeee.....kwa namna hii.........
Wanaume wameisha kabisa.......hawapo tena.......
Asante aisee kwa kulijua hiloMkuu wengi wanauza cku hizi.
Na wewe ni demu wa mizinga nini?Aiseeee.....kwa namna hii.........
Wanaume wameisha kabisa.......hawapo tena.......
Thats nature bro. Take it or leave it!Eti tunaomba gemu as if nyie hamsikiii utamuu...
Kwani upi ni muda maalumu uliowekwa kisheria kwamba kuanzia kutongoza hadi ku do ni muda fulani?Wanaume bana. Sasa wewe umemtongoza dem...kesho yake unataka game. Yeye kesho yake au usiku wake kakuomba vocha unamshangaa. Km unamtaka mwanamke kwa ajili ya sex..unashangaa nini yeye akikukubali kwaajili ya hela zako?
Halafu kuna wanaojisifia wasipoombwa pesa....Aiseeee.....kwa namna hii.........
Wanaume wameisha kabisa.......hawapo tena.......
Hakuna muda maalum wa chochoteKwani upi ni muda maalumu uliowekwa kisheria kwamba kuanzia kutongoza hadi ku do ni muda fulani?
Sijanywa chai, naomba hela...And another one