Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Na kama anakuuzia juwa ni kahaba huyo.Kama natoa hela na yeye ananipa penzi,hiyo ni kuniuzia kijanja janja
Na kama anakuuzia juwa ni kahaba huyo.Kama natoa hela na yeye ananipa penzi,hiyo ni kuniuzia kijanja janja
Mkuu vipi kule kwenye jukwaa la kazi/ajira bado hujapata nafasi?Yani kavocha ka elfu 5 nako kanakuuma?watu tumehonga ma VX na tuko kimya tu huku!
Upo wapi? Guest ya vitanda vya zege au?Sijanywa chai, naomba hela...
Mkuu vipi......Yani imekuwa ni kero,unakuta demu unamtongoza mchana na anakubali.ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.sasa hadi mtu unajiuliza kwamba ,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jaman acheni njaa hizo
yeah,bado sijapata tenda ya kusupply zile meli zangu za mafuta,ila ile tenda ya kuingiza sukari nchini nilipata.una swali lingine?Mkuu vipi kule kwenye jukwaa la kazi/ajira bado hujapata nafasi?
Sijanywa chai, naomba hela...
Ndio ninalo.yeah,bado sijapata tenda ya kusupply zile meli zangu za mafuta,ila ile tenda ya kuingiza sukari nchini nilipata.una swali lingine?
Am ready..... 😛kikwete alisema 'kula uliwe'
unywe chai ugeuzwe chai kazi kwako
Am ready..... 😛
Ata do vipi na njaa? Ampe kwanza hela ya msosi..alishashiba ndo atamfikiria habari ya ku do.Kwani raha ya ku-do si wataiona wote
usiogope ndugu, anaomba advance ya mshahara wake. Kutongoza siku hizi ni sawa na kuinterview candidate kukubaliwa ndo ushampa ajira. Sasa kubali kulipa marupurupu kaka.Yani imekuwa ni kero,unakuta msichana unamtongoza mchana na anakubali, ila cha kushangaza wewe mwanaume kabla hujaomba tunda ila yeye unakuta usiku anakupiga mzinga,utasikia naomba vocha,mara sijala.
Sasa hadi mtu unajiuliza kwamba,kwani hapo mwanzo kabla mi sijamtongoza ina maana hela ya kula alikuwa anatoa wapi? Na vocha pia alikuwa anatoa wapi? Wanawake jamani acheni njaa hizo.
Kizazi cha kiepe yai mdo kimeleta matatizo, siku raha mara nyingi wanapata wanaume tu maana sekunde tu walete. ndo maana kina dada wanachukulia mtaji maana hawafaidiki chochote kingono.Kwani raha ya ku-do si wataiona wote
Preta
Na wewe ni demu wa mizinga nini?
Kwema PretaHakuna kabisa......