Wachungaji baadhi yenu mnakera

Wachungaji baadhi yenu mnakera

Yaani umekwenda kusali, ila wanang'ang'ania uwe mshirika wa kudumu, sio kama RC ambao unasali kanisa lolote na unakuwa huru, hakuna wa kukuuliza.

Ila kwa makanisa haya mengi ya pentecoste hii ni changamoto, mbaya zaidi ukienda kusali na kujulikana ni mgeni utaulizwa kama umeokoka au la! Kama bado wengi huwa wanakulazimisha uokoke.

Yaani hawaelewi ukiwaambia mimi bado bado, wanakera mno! Watu wengine hawajazoea kusali kanisa moja, sasa mnawakatisha tamaa watu wa aina hii, mnakuwa ga na vimaswali vya kipuuzi mno sometimes.
Sasa mkuu kwani wewe hutaki kuokoka?
 
Nakumbuka maza angu mkubwa alipewa uzee wa kanisa. Watakuwa walikuwa wanamvuna haswa na ukaribu aliokuwa nao na yule mchungaji sina shaka alikuwaga anamgonga kabisa.

Maana mchungaji alikuwa kitu special sana yani. Nshapeleka sana bahasha kwake.
Washamchungulia huyo

Kanisani wanakaaga mbele kabisa wanawekwa

Ova
 
Wasanii sana hao watu wakimteka kiakili mwanamke wako kazi unayo wana kauli mbiu ya kuwamaliza wanawake kuwa mume na mungu bora nini wakati mungu aliyesema ndoa na ziheshimiwe.
Mwanamke akishaingia kwa hao manabii sahau heshima kwako tena yaani ataamini kila anachoambiwa na nabii na humwambii kitu akakuelewa ndy maana ni rahisi sana kutiwa
 
Mkuu Wanajaribu Kuwa Karibu Nawe Ili Uwe Mshirika Hai.


Si Mtu Wa Kuuzulia Ibada Na Kukimbia Hutakiwi Kuwa Kama Shabiki Wa Mpira.

Wanatamami Ushiriki Katika Huduma Za Kanisa Kama Kusambaza Injili Kwa Njia Ya Uimbaji, Kusoma Na Kuhubiri, Kutembelea Wagonjwa, Kusaidia Wasiojiweza Na Mambo Mengine Yafananayo.

Upatapo Muda Penda Kushiriki Kwenye Nyumba Za Ibada Kujifunza Maneno Ya Mungu.
 
Tena wakiona umekuja na usafiri wako ndio shida... Maana watakuganda na kwako waje .. ..

Kuna dada namfahamu ...yalimkuta na matokeo amefilisika na ndoa kuvunjika .. utadhani kuna kitu walimpa akawa Kama hajielewi ... Pesa zote anapeleka kanisani!

Mchungaji anashinda nyumbani kwake na mume anaishi mbali kikazi!

Kafikia kuuza mpaka Mali za familia!
Hao watu ni wachawi mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom