RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,523
- 135,615
Ulifikiri wewe peke yako ndio unayo?! Unajua bado najiuliza hivi huyu Miss Natafuta alikuwa anatuchanganya?Namba yake umeitoa wapi wewe?
Ulifikiri wewe peke yako ndio unayo?! Unajua bado najiuliza hivi huyu Miss Natafuta alikuwa anatuchanganya?Namba yake umeitoa wapi wewe?
nyie ni washkaji zangu tu.unajua naweza kuanzisha group la jf whatsup eeh nina namba kama mia moja etiUlifikiri wewe peke yako ndio unayo?! Unajua bado najiuliza hivi huyu Miss Natafuta alikuwa anatuchanganya?
Umesahau awe na six nini ile?Ur looking for a man who doesnt cheat,he's Educated, awe na kazi,gari,maisha mazuri, asiwe amezaa,awe good in bed,awe anampenda Mungu nk...
Unapokosea ni kutafta perfection ambayo haipo
Cha kufanya :Tafuta mwanaume anataka kuoa, select from them angalia yupi unaweza vumilia mapungufu yake mana mazuri ya mtu kuishi nayo sio shida... Then Jitose olewa..over...
Halafu zote hizo umeishia wachumba watatu tu umekata tamaa!nyie ni washkaji zangu tu.unajua naweza kuanzisha group la jf whatsup eeh nina namba kama mia moja eti
hawakuwa wa jf hataHalafu zote hizo umeishia wachumba watatu tu umekata tamaa!
Six C's....sijui ndo hiyo?Umesahau awe na six nini ile?
six packsSix C's....sijui ndo hiyo?
Ulifikiri wewe peke yako ndio unayo?! Unajua bado najiuliza hivi huyu Miss Natafuta alikuwa anatuchanganya?