Ulikosea kuchagua aina ya malisho...
Swala huliwa na aina ya predator aliye karibu naye. Mfano swala akienda mtoni, most likely ataliwa na mamba, swala huyo huyo akiwa kwenye nyasi fupi, most likely ataliwa na simba na pia swala huyo huyo akiwa karibu na miti miti mirefu, most likely ataliwa na chui...
Ila akishabaki makombo, most likely akaliwa na fisi...
Ukitaka uolewe na mwanaume mweupe, ishi mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, ukitaka uolewe na mwanaume mweusi, ishi mikoa ya Kigoma, Kagera, Mara...
Sasa wewe umejipitisha pitisha karibu na wanaume wa hovyo hovyo, most likely hao ndio watakao kuona.
Kupata matokeo mazuri zaidi, jiunge na kwaya leo uone kama hujaibuka na mtumishi wa Bwana...