Wachumba JF

Wachumba JF

Dunia imeendelea, vijana wanatongoza na kupendana online.
 
Wapo waliokutana humu na wameoana tayari. Wengine wapo kwenye maandalizi ya kuoana na wengine bado wana pm, hata no za simu bado!
 
Wachumba tupo kibao. Mi mwenyewe nishapata wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom