Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Mkuu hawastahili kuitwa usalama wa Taifa bali jina linalowafaa ni usalama wa mafisadi.
its so sad,s ibora wangechimba hao usalama wa taifa na faida waiweke n akutumia nchini.Nchi hiii imejaa si gold tuu ila madini ya aina nyingi sana.
Kila sehemu watu wakiamka wanaweza kwenda chimba popote na wakapata madini husika.