Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Wachina wamevamia eneo la hifadhi ya serengeni (Ngurime) ambako wanachimba dhaabu. Wamekuwepo eneo hilo kwa miezi inaenda mitatu sasa. Serikali, wizara ya nishati na madini, badala ya kuwapiga Mabomu wana Mtwara, tunawaomba muwakamate hawa majingili ya kichina ndani ya hifadhi