Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
Meli yao imeingia hapa dar TZ na wamekuja kutoa matibabu bure! Hivi ni matibabu ya waathirika wa dawa za kichina kukuza maumbile ama magonjwa yepi hayo? Jamani wadau tambizane maana maumbile yanazidi kuwa makubwa huku(muhogo) tutashindwa vaa vizuri sasa