Wachina watinga dar

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Meli yao imeingia hapa dar TZ na wamekuja kutoa matibabu bure! Hivi ni matibabu ya waathirika wa dawa za kichina kukuza maumbile ama magonjwa yepi hayo? Jamani wadau tambizane maana maumbile yanazidi kuwa makubwa huku(muhogo) tutashindwa vaa vizuri sasa
 
si muhogo peke yake
ndizi yako umeiona kaka?
 
Meli yao imeingia hapa dar TZ na wamekuja kutoa matibabu bure! Hivi ni matibabu ya waathirika wa dawa za kichina kukuza maumbile ama magonjwa yepi hayo? Jamani wadau tambizane maana maumbile yanazidi kuwa makubwa huku(muhogo) tutashindwa vaa vizuri sasa

Hivi kimbweka hiyo avatar yako haiwanyanyasi kijinsia wadada wa humu JF????Angalia wasije wakakushtaki!mi simo!sijui hapo ndo imesinzia????
 
Hivi kimbweka hiyo avatar yako haiwanyanyasi kijinsia wadada wa humu JF????Angalia wasije wakakushtaki!mi simo!sijui hapo ndo imesinzia????

Ndizi ina ubaya gani mkuu halafu tamu kuila:biggrin1::biggrin1:
 
wambwanda acha umbea
nilikuambia km nimevutiwa nayo?mi nimesema tu ndz yake kubwa ist imply nimevutiwa nayo?tokazako!!

:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1: welikamu nitakupa uionje ni tamu sana:biggrin1:
 
kwan we umeiyona?unaweza kuwa nayo stl usijue km unayo au km kubwa au ndgo?
bye babu wewe naenda kuna naz mie!!!

Mbuzi ya kukunia nnae ilete kwangu nazi bibie niikuneeeeeeee:biggrin1::biggrin1:
 
nimebadili avatar bana naona ishakuwa zengwe tayari:mmph:
 
.........................!!!!!!!!!!!!!! tuwe makini na ahadi zao....! maana kila mara unasikia, "tumeingia mkataba na wachina.....!!!!!!!!!!"

Tena wamekuja na meli tujue kwamba wako full equiped, masindano na mavidonge lakini mmmmh bora tuchunguze isije ikawa kuna mengine
 
Tena wamekuja na meli tujue kwamba wako full equiped, masindano na mavidonge lakini mmmmh bora tuchunguze isije ikawa kuna mengine
Tatizo tunaamini hivi; "Kila mchina ni mkandarasi", Kila mhindi ni daktari"...........!
 
Hawa ndio wataalam wa kuchakachua, wamekuja kuharibu akili za wabongo waichague CCM, hamna cha bure ndugu zangu, subirini uchaguzi ufanyike. Hata JK alishasema anaubia na wachina, nadhani ni vikosi mbadala wa JWTZ kwani hao sio watanzania na wana-interest na nchi hii, angalia misaada waliyotoa, sasa wamesogea karibu kuhakikisha wanakuwa karibu na sahani yao wasije wakamwaga ugali.

Inabidi TISS na JWTZ kama sio uhamiaji waaangalie sababu za msingi za jamaa kuja kipindi hiki tete.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom