Wachina wanatorosha madini yetu

Wachina wanatorosha madini yetu

Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.

Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!

Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
Hawa hawezi kufanya hivi bila msaada wa wenyeji. Wenyeji pia wanatuibia umma. Ifike mahali tuanze kuambiana ukweli.
 
Sijui kwanini watendaji wa serikali hawafatilii hizo.sehemu za ajira. Wahindi na wachina wapo wengi hawana vibali vya kazi kabisa.
Hiyo taarifa waifqnyie kazi watendaji wa Serikali.
 
Hawa hawezi kufanya hivi bila msaada wa wenyeji. Wenyeji pia wanatuibia umma. Ifike mahali tuanze kuambiana ukweli.
Ndio Kuna wakubwa wanawalinda hawa wachina! Kwanza huwa wanapewa taarifa kila mara, pale watu wa uhamiaji wanapoenda kufanya ukaguzi!
 
Na hawa ndio watanzania ambao wengi wana ujinga kama huu na huu ni ujinga haswaa

Mtu anetoa taarifa kwa malengo mazuri kabisa dhidi ya wizi wa siri wa wageni dhidi ya rasilimali za taifa lakini wajinga na wasio nanuzalendo kama hawa wanaanza kukejeli kwakweli huu ni ujinga na kukosa uzalendo kwa taifa.
Mkuu kwanza una uhakika gani kama ni kweli asemayo mleta uzi?
Kuna watu wengi wa kuwatonya na wakafanyia kazi taarifa hiyo kuliko huku mtandaoni labda kama angekuwa tayari kashapita hizo ngazi zote.
Tumia akili ww unaejiita mzalendo uchwara au hao wazalendo wako wa serikalini hawaaminiki?
 
Ishi na jali maisha yako utakuwa na amani. Mwanaume ni kazi siyo umbea umbea tu kuchongea wanaume wenzako.

Nataka ufanye kazi.

Sauh'waaa!
Wewe mtu ni wa ajabu sana, kosa lake huyu ni nini? Ina maana hapaswi kutoa taarifa kama hizi ili serikali ifanye kazi yake?
Jf mods, watu wa hivi wanaweza vipi kuendelea kuwa humu?
 
Wachina ni mchwa wale, na wakipewa bandari ya bagamoyo hadi chawa watasafirishwa kwenda china...........wenye mamlaka naona mnaiuza nchi kirejareja kwa wachina......
 
Wewe mtu ni wa ajabu sana, kosa lake huyu ni nini? Ina maana hapaswi kutoa taarifa kama hizi ili serikali ifanye kazi yake?
Jf mods, watu wa hivi wanaweza vipi kuendelea kuwa humu?
Huyo atakuwa ni takataka anayegawiwa vijisenti kidogo na wachina.....
 
Intelejinsia yetu haioni ngozi nyeupe mkuu, wakufunga paka kengele hajazaliwa bado.
 
Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.

Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!

Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
Wametorasha kilo mbili kaka mbona no kiasi kidogo Sana kwenye dhahabu au hauna taaarifa kamili million 280, kwa uwekezezaji wa dhahabu ni pesa ndogo sana
 
Nipo senkenke machimboni, Kuna wachina wamefungua mgodi wa kuchimba dhahabu, sasa wanawandanganya watendaji wa serikali kuwa, hawajaanza uzalishaji.

Wachina wanasema bado wanakusanya mchanga, kumbe walishaanza siku nyingi kuzalisha!! juzi Kati Kuna wachina walikuwa wanarudi China, waliondoka na dhahabu ya kutosha! ambayo walienda kuiuza dar kwa mhindi mmoja hivi!! dhahabu hio iliuzwa kws Tsh 280 million.
Pili Kuna wachina wanafanya kazi bila kuwa na vibali vya kufanya kazi nchini!! Wachina hawa wamekuwa wskiingia Kama watalii na kupotelea hapa nchini!!

Nazishangaa mamlaka!! hazilioni hili?wachina wanasafiri kwa gari kutoka dar hadi shelui bila kukamatwa njiani!? hili linafikilisha!!
Mara nyingi huwa wakienda watu wa uhamiaji pale mgodini, wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini, hutolewa hapo mgodini na kupelekwa maeno ya nkonkilangi na wakati mwingine hupolekwa ziwani doromon, inaonekana Kuna mkubwa huwa anajulisha!!
Leo nimeona Kuna watendaji ws serikali wamepita wakielekea mgodini, sijui Kama wanalijua hili!?
Yaani huwa nashangaa sana ati mzungu anakuja kuona wanyama. 😀😀😀😀😀
 
Waache wachukue kwani toka uzaliwe kuna siku uliona mamako kavaa kitu cha dhahabu ? Acha wivu na dill za watu, kama vip kachimbe zako.
 
Ila mkuu kosa la huyu mtoa taarifa ni nini? Mbona kafanya Jambo jema sana, wenye mamlaka wanapaswa kuchunguza Kama kweli waloshughulikie.
Wewe unaweza kwenda China na kufanya Kama wao wanavyofanya huku?
mleta taarifa hana kosa lolote na wala sijasema kuwa anakosa. mimi nimemuuliza swali tu full stop.
 
Back
Top Bottom