Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,176
- 1,473
Ukishakua karibu na uwanja huu hasa ukiwa ndani ya uwanja suala la network katika mitandao ya simu hua inakata kabisa. Kumpata mtu kwa simu aliyepo uwanjani huwa ni shida kubwa sana. Sasa sijui kuna kitu gan hapa ni mitandao ya simu yenyewe iko weak au wachina wanagusa waya. Nawasilisha.