hivi wakati ule ninyi mnapopandisha nauli wakati wa xmass huwa mnafikiria wagonjwa, watu wanaosafiri kwenda kuona wagonjwa, misiba na mwingien kakopa nauli? huwa mnakuwa wazalendo kweli, nini huwa mnakuwa watz? hakuna watu wabaya kama TABOA hao wamiliki, kwanza mnawanyonya sana madereva wenu wanapata stress hadi wanadondosha magari, dereva akipata ajali akifa familia zao hamzijali, ninyi mnajali pesa tu. unafikiri ninyi ndio wazalendo? ninyi ndio mashetani wa nchi hii. bora wachina waje.
Hayo ni majeneza yanayotembea,tokea lini mchina akaleta kitu bora Africa?bora wachina mara mia, kwasababu mabasi yao ni bora, yana kiyoyozi, bei nafuuu na hawachinji kutoa makafara kama ninyi wabongo na mibasi yenu takataka mliyotengeneza bodi kenya. mmetunyanyasa vya kutosha na kwa miaka mingi sana mkipandisha bei mpendavyo, soko huria linaendelea itafika kipindi mtapaki hayo mangarangara yenu garage.
sisi abiria tunachohitaji sio basi la mtanzania, tunachohitaji ni usafiri bora, hatujali ni wa mtz au mchina au mzungu, na hata wewe ukipata hela yako mimi hainihusu ni yako wewe na watoto wako hivyo niko radhi hata kuungana na mchina ili basi lako life kama kutakuwa na maslahi. kwendeni zenu huko chinjachinja ninyi. mlizoea biashara za mabasi kwa uchawi mchina amekuja kufanya biashara kwa kutumia akili, au naye kawazidi nguvu kwa dini yake ya Confucianism?
mbona magari ya mchina hayapandi nauli, ni kwasababu mchina anasimamia mwenyewe hadi bus linaondoka ndio anarudi home kwa mkewe. hao wapiga debe na mawakala ambao ninyi mnawaachia ili wanyanyase abiria, wa kulaumiwa ni ninyi mnaowaachia kwasababu wameshanunua tiketi zote ninyi mshaweka hela mfukoni hamjali kinachotokea huku nyuma. dawa yake waje wachina. pale ubungo hao wachina wa new force hagusi mpiga debe pale, mtu unaenda mwenyewe ofisini, hauendi kwa wakala. kwanini mnaweka mawakala? wakati mnazo ofisi, kama bus ni la kwako kwanini uendeshwe na mawakala na wapiga debe? ina maana wewe umejali pesa yako tu, kinachotokea huku nyuma mawakala kunyanyasa abiria wewe haikuhusu na haikuumi kwasababu ushachukua chako, na kwa namna hii ninyi sio wazalendo na mnafanya biashara kishamba sana.Mkuu chunguza kidogo tu uambiwe kitu wanafanywa hao makonda nanmadereva wa mabasi au malori ya wachina! Ulizia kesi zilizopo ubungo au urafiki polisi.
Kwa taarifa tu ni kuwa nauli kupanda December hata mmiliki hanufaiki. Wananufaika tu mawakala wa usafirishaji. Wala Taboa wala mmiliki hanufaiki! Ni uzembe wa hiihii serikali.
mi gari zangu za mombasa hazipatagi ajali mara kwa mara kama za huko moshi,mwanza,mbeya. mi naenjoy zangu ndani ya TAHMEED huku natafuna tambuu,parik,au manikchand hadi nafika mombasa halafu pemben yangu kuna toto chotara tunabadilishana mawazo,hizo ajali zinanichosha hata kufikiria kwenda mbeya kusalimia bibi na babu
Hayo ni majeneza yanayotembea,tokea lini mchina akaleta kitu bora Africa?
Na kweli hatushindwi ! Lakini hatujafikia hapo na wala hatuwaxhukii watanzania kwa kiwango hicho!
Ila najiuliza, hivi nyie mnaosupport wachina ni watanzania Kweli?
Ba Brio akili za mwafrika ni fupi sana. Wewe unachokiona ni athari za hili jambo huko mbeleni. In 5 to 10 years to come. Mtu mweusi anafikiria nauli ndogo ya leo, asifikirie huyu foreigner ana malengo gani baadae.
Marekani ambao ni waasisi wa free market trade wana restrictions kibao kwenye foreign investors. Hasa kwenye core sectors kama agriculture,power e.t.c. Mchina hajaja kukuza uchumi wa Tanzania, kaja kuchuma. Tofauti na mtanzania ambae akipata si rahisi kwenda kujenga kwingine.
Ni lazima tujifunze kujilinda na kulinda vya kwetu jamani. Tahadhari, sisemi tuwe violent au unfriendly against foreigners HAPANA ila tulinde vyetu. Hehehehe, watakuja kuwageuka hawa mshangae na roho zenu.
Ba Brio
Bora wachina mara mia, kwasababu mabasi yao ni bora, yana kiyoyozi, bei nafuuu na hawachinji kutoa makafara kama ninyi wabongo na mibasi yenu takataka mliyotengeneza bodi kenya. mmetunyanyasa vya kutosha na kwa miaka mingi sana mkipandisha bei mpendavyo, soko huria linaendelea itafika kipindi mtapaki hayo mangarangara yenu garage.
sisi abiria tunachohitaji sio basi la mtanzania, tunachohitaji ni usafiri bora, hatujali ni wa mtz au mchina au mzungu, na hata wewe ukipata hela yako mimi hainihusu ni yako wewe na watoto wako hivyo niko radhi hata kuungana na mchina ili basi lako life kama kutakuwa na maslahi. kwendeni zenu huko chinjachinja ninyi. mlizoea biashara za mabasi kwa uchawi mchina amekuja kufanya biashara kwa kutumia akili, au naye kawazidi nguvu kwa dini yake ya Confucianism?
Mkuu chunguza kidogo tu uambiwe kitu wanafanywa hao makonda nanmadereva wa mabasi au malori ya wachina! Ulizia kesi zilizopo ubungo au urafiki polisi.
Kwa taarifa tu ni kuwa nauli kupanda December hata mmiliki hanufaiki. Wananufaika tu mawakala wa usafirishaji. Wala Taboa wala mmiliki hanufaiki! Ni uzembe wa hiihii serikali.