Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
inatisha
Acha tu mjomba. Tumuombe mungu tuwe miongoni mwao.“Amezikwa miaka 20 iliyopita, lakini kila tunapochimba ili kuandaa kaburi jingine, tunamkuta kama alivyokuwa amelala, sanda haijagusa mchanga, wala ubao aliolaziwa haujaliwa na wadudu,” anasema huku akionyesha kaburi hilo.
Dalili njema mnoo kwa huyu kiumbe yaonekana alikuwa mchamungu.[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hajawahi zika Mpendwa wako, sisi wengine tumezika mzazi na mtoto, kwa hiyo masuala ya mortuary na makaburi tunaona kawaida ingawa haizoeleki, ila kifupi umauma sana, nimesoma hii stori inatukumbusha mengiDuuuh hongera jamani maana mm kwenda kizika siku moja tu nikirudi kichwa kinauma balaa
Hapo kwenye huyo mtu ambaye haozi nadhani hilo eneo halina bacteria wa kuozesha huo mwili au ulipakwa dawa ya kuzuia kuoza
Ni mtazamo tu
Kama ya mortuary,unaziona maiti za kila dizain, kifo kinatisha ingawa ndio utaratibu wa kibinadamuHalafu unakuta mwingine analalamika "Ooo kazi ya ukonda ni ngumu"....
Nadhani Leo ndo jamii itajua IPI ni kazi ngumu zaidi !!!
Amin inshaallah..Acha tu mjomba. Tumuombe mungu tuwe miongoni mwao.
We ndio zuzu mtu anasema kabisa alifundishwa na wataalamu wa kazi, hao wataalamu unafikiri madaktari wa muhimbili?Akili kama zako ndio za kuweka milioni tisa juu ya kaburi kisha unarudi kinyumenyume mpaka kwenu ili ufanikiwe
Jamaa hata hajaelewa, wale wachimba makaburi kwa maelezo yao na wao inaonekana wamejizindika..Lakini kumbuka jamaa anasema pesa walizoweka zilikuwa ni bandia...Na hao Waganga wa Kikongamani walikamatwa kwa kuwa na pesa bandia
Mkuu tafuta mtazamo mwingine. Miili yetu imejaa kkila aina ya wadudu wanaosubiri kwa hamu tufe waozeshe miili yetu. Kwa kifupi hao wadudu huwa tunaingia nao humwo kaburini.Hapo kwenye huyo mtu ambaye haozi nadhani hilo eneo halina bacteria wa kuozesha huo mwili au ulipakwa dawa ya kuzuia kuoza
Ni mtazamo tu
Ila waliwaweza, zilikuwa bandia.Akili kama zako ndio za kuweka milioni tisa juu ya kaburi kisha unarudi kinyumenyume mpaka kwenu ili ufanikiwe