Edo Kumwembe: Mbona Jonas Mkude amerusha taulo mapema hivi?

Oldmantz

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
430
996
Kuna kitu kimepita hapa katikati halafu tunaona kawaida. Jonas Mkude hakuitwa katika kikosi cha timu ya taifa. Tumeona kawaida kumbe ni jambo ambalo kama ingekuwa kwa Waingereza wangelichambua kwa kina zaidi. Najisikia kulichambua jambo hili.

Kwanza kabisa hakustahili kuitwa kwa sababu hata katika timu yake hachezi. Lakini pia maisha yake ya soka yanatia shaka. Ana kiu ya kucheza mpira? Mbona kama vile hana kiu ya kucheza mpira. Hapangwi na wala halalamiki na wala mashabiki wa Simba hawalalamiki. Zamani kidogo Simba wangelalamika.

Kinachoshangaza ni kwamba hata katika dakika chache anazocheza huwa haleti tofauti. Muda si mrefu utasikia ameachwa anakwenda zake Namungo au Singida Big Stars. Baada ya hapo utasikia kimya. Hilo sio jambo linalosikitisha. Kitu kinachosikitisha ni kwamba nafasi yake pale Simba imekwenda kwa mgeni, Sadio Kanoute.

Na kinachosikitisha zaidi ni hata yeye akiondoka nafasi yake itakwenda kwa mgeni mwingine. Si aliletwa Ismail Sawadogo? Hata kama Sawadogo ameonyesha kiwango kidogo usitazamie kama nafasi yake itakwenda kwa mzawa. Simba itaingia sokoni kumsaka mgeni. Mtu pekee anayetuwakilisha pale katikati ni Mzamiru Yassin.

Katika hali ya kawaida Jonas ana kipaji kikubwa kuliko Mzamiru lakini ndio walivyo wachezajj wetu. Wale wenye vipaji vikubwa hawajitumi sana. Ndio hawa kina Jonas. Sijui nini kinamtokea lakini ni kama vile amerusha taulo na ameruhusu kuiuza namba yake kwa wageni. Hii inakuwa hasara kubwa kwa taifa.

Ukizungumza kuhusu umri sio kweli. Nafahamu Khalid Aucho amecheza soka la kiwango cha juu mapema kabla ya Mkude. Tulianza kumsikia Aucho lini? Zamani. Anajitunza na mpaka sasa ni mchezaji tegemeo katika kikosi cha Yanga. Pale katikati Yanga hawatulii kama kama Aucho hayupo. Wakati hali ikiwa hivyo huku Msimbazi tayari Mkude anaonekana amerusha taulo.

Timu ya Taifa ya Msumbiji mpaka leo imeendelea kumtegemea kiungo wake mahiri, Elius Pelembe maarufu kama Domingues. Ana umri wa miaka 39 anakipiga katika Ligi Kuu ya Afrika Kusini katika klabu ya Royal AM. Huyu jamaa alikuwepo katika kikosi cha Msumbiji kilichocheza na Taifa Stars Oktoba 2006. Wakati huo safu yetu ya kiungo ilikuwa na Athuman Idd Chuji. Jiulize lini Chuji ameacha soka? Lakini bado Domingues anadunda.

Kinachoonekana hata Mkude anaelekea kumuacha Domingues uwanjani. Wachezaji wetu wanarusha mataulo mapema na kitu kibaya zaidi wanapoondoka katika hizi timu hatupati tena wachezaji wa kuziba nafasi zao.
Hii inatokea katika klabu kubwa nchini ambazo tunaamini wachezaji wazawa wanaweza kukomaa vizuri na kuliwakilisha taifa kwa sababu klabu zetu kubwa zina mechi nyingi za kimataifa.

Shukrani kwa Mohammed Hussein Tshabalala, Shomari Kapombe, Mzamiru na Aishi Manula ambao waendelea kupambana. Lakini hata hawa wakiisha sioni kama kuna wazawa wataziba nafasi zao. Simba hawawezi kumuamini kipa wa Prisons katika lango lao huku Yanga ikiwa na kipa wa aina ya Djigui Diarra. Lazima itaenda nje ya nchi.

Wakati mwingine hauwezi kuwalaumu viongozi wa hizi timu. Wazawa vipaji vyao daima vimeendelea kuwa chini. Lakini kitu kibaya hata wanaopewa nafasi wanatuangusha. Angalia namna Habib Kyombo alivyopotezwa na Jean Baleke.

Kama yeye angekuwa anafanya haya mambo ya Baleke lingekuwa jambo la maana kwa taifa.Katika hatua ya makundi ni wazawa wawili tu wamefunga mabao. Mudathir na Farid Mussa. Kwa upande wa Simba tumepata pasi za mabao kutoka kwa Shomari Kapombe na Mzamiru Yassin. Mabao mengine yote pamoja na pasi zake yametoka kwa wageni ambao wameendelea kuwa makini wanapovaa jezi za Simba na Yanga.

Wakati mwingine wachezaji kama Mkude wanapopotea inakuwa hasara kwa taifa. Taifa letu linawategemea zaidi wachezaji wanaocheza ndani kwa sababu ndio asilimia kubwa ya wanaoitwa timu ya taifa.

Unapoona wachezaji wenyewe wanaanza kusugua benchi katika klabu zao ujue Taifa Stars inakuwa shakani.
Mtazame mchezaji kama Mudathir. Amekaa nje kwa muda mrefu na aliposaini kuichezea Yanga akakumbana na mechi za kimataifa. Amefanya vizuri na sasa yupo timu ya taifa na anacheza. Hii inatokana na ukosefu wa vipaji. Lakini pia ni faida ya kupata nafasi katika kikosi kinachoshiriki michuano ya kimataifa.

Hatuwezi kuwaingilia wachezaji katika maisha yao binafsi lakini kwa mtazamo wa kisoka natamani wachezaji wetu na mashabiki wangekuwa wana uwezo wa kuchambua hasara zinazotokea kwa mchezaji kama Mkude akiamua kutupa taulo mapema. Watu wanaomzunguka pia sijui huwa wanamshauri kitu gani.

Jonas bado ana uwezo wa kucheza soka katika kiwango cha juu kwa muda mrefu. Kama maisha yake binafsi anayaendesha ovyo nadhani anapaswa kujirekebisha. Katika ubora wake hakuna kiungo wa kumuweka benchi pale Simba. Hata hivyo, hatima yake anayo mikononi mwake. Sisi wengine ni washauri wa kawaida tu.

Kwanini Clatous Chotta Chama bado ameendelea kuwa katika kiwango kile kile tu? Kuna nyakati ambazo Jonas alikuwa na umuhimu sawa katika kikosi cha Simba kama ilivyokuwa kwa Chama, Louis Miquissone, Manula na wengineo. Kwanini umuhimu wake uondoke huku wenzake wakiendelea kukipiga kama kawaida?

Ukitaka kuona taifa letu lina nuksi ni kwamba wakati tunalilia wazawa wawe katika ubora wao Simba, Yanga na Azam, rafiki yetu Fei Toto naye amegoma kuichezea timu yake. Katikati ya msimu ameanzisha vurugu za mkataba ambazo matokeo yake tuliyaona katika mechi mbili za Taifa Stars dhidi ya Uganda. Hakuonyesha ubora wowote ule.

Pale Azam kuna wazawa wanapambana. Shukrani kwa Ayoub Lyanga na Abdul Hamis ‘Sopu’ ambaye hapa karibuni ameanza kuwa na mchango mkubwa katika kikosi cha Stars. Kama Azam ingekuwa na mechi nyingi za kimataifa nadhani wangeimarika zaidi lakini bahati mbaya Azam ilitolewa mapema.

Kitu kingine cha kumkumbusha Jonas ni namna gani maisha yanavyokuwa magumu kwa mchezaji aliyezoea kucheza Simba na Yanga kwa muda mrefu kisha akaenda timu za mikoani. Ghafla mashabiki wanakusahau. Ghafla unaanza safari ndefu za Mabasi. Ghafla unaanza kuishi katika hoteli za kawaida tu.

Kwa wachezaji wa Afrika Magharibi wangechukulia hii kama changamoto ya kuendelea kubaki juu na kucheza katika kiwango cha juu kwa muda mrefu. Sisi tunachukulia maisha poa kwa sababu tumekulia katika ujamaa. Ni kama hivi Jonas alivyorusha taulo mapema wakati ana uwezo mkubwa wa kucheza kwa muda mrefu kama akiamua.

MWANASPOTI
 
Wachezaji wanaendekeza misumari badala ya kuboresha viwango vyao. Sasa unayempuga misumari kumbe alishazindikwa huko kwao ukipiga inakurudia mwenyewe.

Kuhusu swala la Fei ni yeye na washauri wake aliposasa ni kutokana na washauri wanaojinadi kumtakia mema
 
Mkude karidhika sana kama Ajibu tu na mambo ya Magomeni kazidisha.
 
Mkude aliota mapembe Sana,,japo anahitaji mechi tatu tu kurudisha kiwango chake na Imani ya timu kwake
Kweli kabisa kuna kipindi aliota pembe sana sijui alijua Simba ni ya Kaka yake,mambo yake ya nje ya uwanja ndiyo yamesababisha hivi alivyo haina haja ya kuyasemea...
Apambane arudi Mkude akiwa kwenye form ni mtu sana.
 
Kila binadamu ana jinsi anavyo yaona mambo...

Kwa alichoki kiandika Edo ni kua Leo mimi am 4 real naweza nikarud uwanjani kulisakata gozi la n'gombe na umri wangu huu......
Mm nilikua na Talent sana sana kwenye mguu wangu wa kushoto na nilitabiriwa makubwa ila siku Chukulia maanani mpira wa miguu wa bongo......

Tuwekeze kwenye scouting kuibua vipaji vipo vingi sana......Tatizo football ni number... Number do not lie........

Leo hii ukiwa na kikosi dhaifu Kwa kumtegemea mkude huwezi shindana na timu bigwa wa Afrika.....

Cc. RAJA
Cc. WAYDAD

Huwezi shindana na hizo klabu hapo juu pale mpk Kuna wachezaji wapo kikosi Cha kwanza wana 21 yrs
Pale Simba 🦁 nani ana huo umri
Timu za wenzetu hata age avarages haizidi 26year...

Bado tuna safar ndefu sana kama Taifa kisoka unaweza itafuta speech ya JPM aliyo ongea na Timu ya taifa na TFF 🇹🇿🇹🇿

Wasalaam

Kwa Sasa
+267
 
Mkude ni mzigo kwa Simba, no 6 ambaye hataki kukaba na kukimbia sana ni hasara kwa timu, naamini huu ndio msimu wake wa mwisho Simba, aende pengine akanywe pombe zake na alale na wanawake wengi kadri atakavyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom