kutukana maana yake wewe Ni empty set.Unaumwa mavi wewe
Akiwemo Yikpe na Sarpongwachezaji wote wa kimataifa
#youngafrican#
Kwa niliowaona niTujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
Nonda sawa ila hao wengine hawana issue yeyote, ni majina tu. Kumbuka Lunya alienda mpaka Marekani kusini (Venezuela) kutafuta timu daraja la 4 hakupata kutokana na kuwa na kiwango kidogo ila hapa Bongo alikuwa staa uchwara.Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
Ndio watatu hawa?Gibson Sembuli
🤣Ulaya Okwi mbona kakaa miaka miwili kacheza zisizozidi dk 20 akaona bora aje achukue nssf yake kwa mbumbumbu fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile huwajui akina Sunday Manara (Computer), Gibson Sembuli na Leodgar Tenga (Msomi)!Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
mayele, kwasi, max.Tujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc.
Mimi naanza na hawa;
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
tupe list yako...
Hilo takataka namba mbili nimelifuta kabisa1.Edibily Lunyamila
2.Feisal Salum "Toto"
3.Mrisho Khalfan Ngassa
Mtoe canavaroTujuzane wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi za Njano na Kijani yaani Yanga Sc. Mimi naanza na hawa.
Edibily Jonas Lunyamila
Nadir Haroub Ally Kanavaro
Nonda Shaban Papii
Tupe list yako...