John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,060
- 1,960
1. Stephane Aziz Ki
Stephane Aziz Ki ni mchezaji wa kulipwa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Young Africans ya Ligi Kuu ya Tanzania. Alizaliwa nchini Ivory Coast, anawakilisha timu ya taifa ya Burkina Faso.
Date of birth: Mar 6, 1996
Place of birth: Adjamé
Citizenship: Burkina Faso
Position: midfield - Attacking
Current club: Young Africans
From : Asec Mimosas
SCJoined:Jul 15, 2022
Contract expires:Jun 30, 2024
Market value : €950k (2,418,783,534.45 Tsh)
Salary (Monthly) : 56,000,000 Tsh
2.Fiston Kalala Mayele
Fiston Kalala Mayele, Pia Anajulikana kama Mayele ni mchezaji wa kulipwa wa Kongo ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Tanzania ya Young Africans na timu ya taifa ya DR Congo.
Date of birth:Jun 24, 1994
Place of birth:Mbuji-Mayi
Age:28
Citizenship:
DR Congo
Position:Attack - Centre-Forward
Club: Young Africans SC
Joined: Aug 1, 2021
From: AS Vita
Contract expires : -
Market Value : €995k (2,533,357,491.34Tsh)
Salary (Monthly) : 52,500,000 Tsh
3.Djigue Diarra
Djigui Diarra ni mchezaji wa kandanda wa Mali ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Tanzania ya Young Africans na timu ya taifa ya Mali. Pia aliwakilisha nchi yake kwenye Kombe la Dunia la FIFA la U-20 2015, ambapo walifanikiwa kumaliza katika nafasi ya tatu.
Date of birth:Feb 27, 1995
Place of birth:Bamako
Age:28
Height:1,73 m
Citizenship:
Mali
Position:Goalkeeper
Club: Young Africans SC
Joined:Aug 8, 2021
Market value : €650k (1,654,957,155.15 Tsh)
Salary (Monthly) : 42,000,000 Tsh
4.Bernard Morrison
Bernard Morrison ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Ghana ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi Kuu ya Tanzania ya Young Africans.
Date of birth:May 20, 1993
Place of birth:Mankessim
Age:30
Citizenship:
Ghana
Position:Attack - Right Winger
Current club: Young Africans SCJoined:Jul 4, 2020
From: Motema pembe
Market value : €500k (1,273,043,965.50Tsh)
Salary (Monthly): 38,000,000 Tsh
5.Tuisila Kisinda
Tuisila Rossien Kisinda ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Date of birth:Dec 20, 1999
Age:23
Citizenship:
DR Congo
Position:Attack - Right Winger
Current club: Young Africans SC
Joined:Aug 6, 2022
Market value : €480k (1,221,122,365.44Tsh)
Monthly salary : 35,000,000Tsh
6. Yanick Bangala
Yannick Bangala Litombo ni mwanasoka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Yanga.
Date of birth:Apr 12, 1994
Place of birth:Kinshasa
Age:29
Citizenship:
DR Congo
Position:midfield Defender
Current club: Young Africans Sc
Joined:Aug 20, 2021
Market value : €450k / 1,144,918,724.85Tsh
Salary (Monthly) : 32,000,000 Tsh
7. Clatous Chama
Chama aliisaidia ZESCO United F.C. kufika nusu fainali za Ligi ya Mabingwa ya CAF kabla ya kusaini mkataba wa miaka 3 na Al Ittihad ya Misri
Date of birth:Jun 18, 1991
Place of birth:Lusaka
Age:31
Citizenship:
Zambia
Position:midfield - Attacking Midfield
Current club: Simba SC
Joined:Jan 14, 2022
Contract expires:Jun 30, 2024
Market value : €320k/814,100,406.40Tsh
Salary (monthly) :25,000,000Tsh
8.Aishi manula
Ni mchezaji wa soka wa Tanzania ambaye anacheza kama kipa wa timu ya taifa ya Tanzania[1]. Kisha kuzichezea klabu kadhaa, zikiwemo Azam fc, kwa sasa yupo Simba SC.
Date of birth:Sep 13, 1995
Place of birth:Morogoro Tanzania Age:27
Citizenship: Tanzania
Position:Goalkeeper
Current club:Simba SCSimba SC
Joined:Aug 9, 2017
Market value: €280k/712,331,265.52Tsh
Monthly salary;21,000,000Tsh