Wachekeshaji Bora Afrika Mashariki

Wachekeshaji Bora Afrika Mashariki

1. Jemutai
2. Sleepy David
3. Majuto
4. Kansime
5. Mc Jessy
6. Erick Omomd
7. Karis
8. Profesa Hamo
9. Fred Omomd
10. Owago Onyiro
 
Hawa ndio wasanii bora kwa uchekeshaji africa mashariki (top 4)
1. Original Comedy
2.Omondi eric
3. Teacher Mpamire
4. Anne Kansime

Number 1 ni kikundi, wengine ni individual comedians. Linganisha vikundi au wasanii binafsi.

Kwa wasanii binafsi namkubali Anne Kansiime.
 
1. Jemutai
2. Sleepy David
3. Majuto
4. Kansime
5. Mc Jessy
6. Erick Omomd
7. Karis
8. Profesa Hamo
9. Fred Omomd
10. Owago Onyiro
Nikiwa na stress huwa naangalia Churchill show najikuta nime re-fresh mind sana namkuba sana Hamo na from the booook kuna wengine wanaitwa Rib crakers nawakubali mno.
 
Wee fala mbona unakurupukaaa shuleni kwenu walikufundisha basket mouth anatokea nchi gani!?usipende kutafuta umaarufu kupitia migongo ya watu andika comment yako kuli relate na uziii yasiyokuhusu achana nayo

Again unasoma outta context, Nigeria ipo W. Africa na uzi unataka wachekeshaji wa E. Africa wewe unamtaja Basket mouth wa Nigeria. Ungeeda shule ungejua Geography na ramani ya dunia. Rudi shule hujachelewa boya wewe
 
Hawa wakenya mimi naona hamna kitu
 
1. Jemutai
2. Sleepy David
3. Majuto
4. Kansime
5. Mc Jessy
6. Erick Omomd
7. Karis
8. Profesa Hamo
9. Fred Omomd
10. Owago Onyiro

Mkuu umemsahau consumator, njoro, na mamito. Aki na pilipili wakasome sana kwa vichwa hivi
 
Hawa ndio wasanii bora kwa uchekeshaji africa mashariki (top 4)
1. Original Comedy
2.Omondi eric
3. Teacher Mpamire
4. Anne Kansime
ungeanza na kansiime


hawa or comedy enzi wakiwa itv ndo walibamba sijawaona mwaka mzima wala sijui pa kuwapata
 
Kabadili jinsia? Dunia inaelekea wapi hii jamani? Mbona alikua mrembo tu yule?
Si unajua wasanii kupenda Kiki itakua ameona abadiri jinsia ili azidi kuwika hehehehehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom