Wachekeshaji Bora Afrika Mashariki

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Hawa ndio wasanii bora kwa uchekeshaji africa mashariki (top 4)
1. Original Comedy
2.Omondi eric
3. Teacher Mpamire
4. Anne Kansime
 
Kansiime Anne Ojok, yeye anasema ni the best International comedian. Huyu bidada matata sana.
 
Kuchekesha kwa aina gani?
kuigiza?
au stand up?

kwa Stand up ...hawa kwangu ndo best for now
sijui yupo moja yupi mbili
but wote nawakubali

1.Mpoki
2.Mc Pilipili
3.Mc pepe
4.Churchil
5.Omondi...
 
Kuchekesha kwa aina gani?
kuigiza?
au stand up?

kwa Stand up ...hawa kwangu ndo best for now
sijui yupo moja yupi mbili
but wote nawakubali

1.Mpoki
2.Mc Pilipili
3.Mc pepe
4.Churchil
5.Omondi...
We nae sijui mshamba wa wapi? Churchil ni kipindi cha comedy ambacho huwalikwa comediani kama eric omond na wengine kuchekesha! Pili nahisi umeamka toka usingizini coz iweje umuweke hapo mc pilipili? Kwa lipi labda?
 
Back
Top Bottom