Wachawi

...sielewi ni kwanini?
sababu ni kwamba wao almost kila kitu wanafanya in spiritual form na kwa usiri.

Damu ya Yesu inene mema juu ya mabaya yote yanayokuzunguka na uwe Mshindi katika Yesu Kristo.
 
Mjinga ni wewe.
 
Ukilala na binti yake ndo umeingia kingi rasmi.
 
Uchawi upo,lkn usiuogope,bali mwogope mungu na kumuamini yeye pekee. Mchawi ni sawa na mbwa mkali ukipita mbele yake kiwoga woga lazima akuvamie,lkn ukijiamini hafanyi lolote kwako.
 
sababu ni kwamba wao almost kila kitu wanafanya in spiritual form na kwa usiri.

Damu ya Yesu inene mema juu ya mabaya yote yanayokuzunguka na uwe Mshindi katika Yesu Kristo.
Kuamini kwamba wachawi na wapiga maombi wanaweza kuponyesha magonjwa yote ni ujima na hii ina-reflect the inadequacy of our (Tanzanian) education system.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…