Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo


Hiyo historia ya Ukoo wa Daudi unafikiria iliandikwa ili kutoa nafasi yesu au ukoo wake "kuvunja" maagano na miti ya laana? Kwa hiyo Biography kwa mfano ya Ukoo wa Magufuli ipo ili kuonyesha kuwa huko nyuma kwenye ukoo wao kulwahi kuwa na Raisi na ndio maana na yeye akafanikiwa kuukwaa uraisi?
 
Kuna ulazima wa kukujibu.kama ulazima upo,fungua uzi wako wa maswali nakuja kukujibu.na kama haupo mkuu unaweza kupita mdogo mdogo sitopata hasara
 
Basi

Basi huna tofauti na Mafarisayo ambao mpaka leo wana amini na wanasema mpaka leo Yesu sio Mfalme sababu hakutoka katika Ukoo wa Daudi.......
 



Ungetaka asiongelewe katika uzi huu usingalimtaja! Haiwezekani umuongelee na mimi iwe dhambi kumuongelea.Mafundisho yake hayo si anayatoa hadharani sasa kuna kosa gani kumuongelea hapa? Kwani kwenye Uzi mama ulitahadharisha wachangiaji wasimuongelee?
 
Kuna ulazima wa kukujibu.kama ulazima upo,fungua uzi wako wa maswali nakuja kukujibu.na kama haupo mkuu unaweza kupita mdogo mdogo sitopata hasara
Kwanza kabisa weka alama ya kuuliza kwenye swali.

Vinginevyo utakuwa unaiambia dunia hujui kuandika.

Kuna ulazima wa kunijibu kwa mtu yeyote mwenye ubongo unaochemka.

Kwa sababu hoja haitakiwi kuachwa bila kujibiwa.

Kuacha kujibu hoja ni ishara ya woga na ukosefu wa hoja.

Hata kama jibu ni kukubali tu kwamba sawa, umeeleweka na umeshinda kwa hoja, utakuwa umejibu hoja.

Na uzi mwingine sitaki kufungua.

Kwa sababu hakuna sababu ya kufungua uzi mwingine kwa jambo ambalo tunaliongelea vizuri kabisa hapa.

Kama hoja imekuzidi kimo, unaweza kusema tu hilo nalo.

Si dhambi kukutana na hoja iliyokuzidi kimo.

Sent from my Kimulimuli
 
Mkuu naona unajichanganya aiseeh.hebu rudi kasome upya uzi wangu tena kwa umakini.maana yanakutoka maneno kibao.soma vizur mkuu unajibu sivyo.

Kuna mtu hapa anajaribu kukuelewesha lkn hueleweki.kuwa makini mkuu
 
Hivi kwanini usiku wanasema usiite chumvi sababu Ni nini

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Walikuwa wanabana matumizi tu hao itakuwa.

Mila nyingine zina sababu practical lakini zinewekwa kama miiko ya siri kubwa.

Zamani chumvi ilikuwa deal sana. Sehemu nyingine ilitumika kama hela.

Sent from my Kimulimuli
 
Basi


Basi una tofauti na Mafarisayo ambao mpaka leo wana amini na wanasema mpaka leo Yesu sio Mfalme sababu hakutoka katika Ukoo wa Daudi.......


Soma maandiko Matakatifu na uyaelewe vizuri.Historia ya Ukoo wa Yesu ipo kutuhabarisha tu juu ya chimbuko lake na sio kama hao wahubiri wenu wafanyavyo leo.Maudhui ya Biography ya Yesu ni kama ilivyo leo kwa Biography ya Nyerere,Nkurumah,Kenyata,Mkwawa, wewe na mimi.Jambo la msingi na la kujivunia ni kile alichofanya Yesu kwa kutokea katika ukoo huo:kufa na kufufuka kwa ajili ya kutuondoshea dhambi zetu.
 
Uja


Ujaelewa Boss.......Yaani yeye kama yeye aanze kujifahamu asili ya kwake kwa wale ambao wapo au apate mtu ambaye anawafahamu wao lada babu na bibi zake wazaa wazazi wake....ndivyo nilivyomaanisha Mkuu.
Mkuu pole unajitahidi kumuelewesha mtu ambae haelewi.naona anayoyajibu mengi yapo kinyume.

Anakera kweli.mshauri asome kwa umakini aelewe ndo yaanze kumtoka maneno.

Yani mimi muhusika nimekuwa mpole nachukua ushauri,..yeye yanamfumuka maneno utafikiri yeye ndo mkereketwa sanaaaaa.anaboa kwa kweli
Pole mkuu
 
Swali langu kama unaamini Biblia umeliruka. Hujalijibu.

Sent from my Kimulimuli
 
Sasa nan kakudanganya kuna maji ya baraka ??.

Sent from my GT-S5310I using JamiiForums mobile app
 
Isije kuwa ni Mshana alikuzukia kiaina, zidisha maombi mkuu

Sukumaland
 
Aiseeh hongera sana mkuu.

Kumbe mchawi hapatani na maji ee..vipi kuhusu kugeuza nguo mkuu??inauhusiano gani??
 
Sasa nan kakudanganya kuna maji ya baraka ??.

Sent from my GT-S5310I using JamiiForums mobile app


nakumbuka wakat nafundishwa masomo ya rc kuingia kwenye ndoa padri akanipa hayo maji,kuna muda akawa anaoneshaa anataka kusema kitu! mwisho wa sk akaja akasema kitu! nikamuuliza hv hayo maji nan anayabariki akaniambia ni wao! toka hapo huwa sielew hayo maji ya baraka! anywys ni iman zaid!
 
Yani we mtu bhana sijui ukoje!!umesoma uzi wangu lkni au unadandia tren kwa mbele!!hebu kuwa makini bhana.halafu kama wewe huamini maandiko ya kwenye Biblia ni wew.sisi utuache na tunayoyaamini.si lazima unachokitaka wewe kiwe kitakuwa.angalia maneno yako mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…