Wachawi wanikosesha usingizi usiku wa leo

Na imani nyote ni wazima.
Moja kwa moja kwenye mada.

Ndgu zanguni hapo kabla nilikuwa nilikuwa siamini kuna wachawi ingawa nilikuwa nikisikia watu wakisema.
Hapo kabla nilikuwa nikiota ndoto mbaya sana na wakati mwingine nikijikuta natoka nje bila kujua usiku wa manane wakati huo nakuwa siko ktk hali ya kawaida kbsa.naweza kusema ni Mungu tu.

Ile hali ya ndoto mbaya ikawa inazidi nikaanza kwenda kwenye maombi.nilipoanza maombi ni kama nilizidisha nilikuwa nikiota ndoto mbaya nyingi zikiwa za mijoka mikubwa yenye rangi ya gold na yellow.nikalifikisha kwa mchungaji nikafanyiwa maombi ile hali ikawa inapotea kidogokidogo.ikafikia hatua naota mara chache sana.kwahiyo nikawa najisimamia mwenyew kukemea hizo ndoto

Jana usiku nikawa namsikiliza mwakasege saa tatu usiku(huwa ni utaratibu wangu wa kusikiliza mahubiri yake).lakini jana ile anaanza nikapata usingizi ghafla nakuja kustuka anamalizia.nikalala.

Sasa usiku wa saa saba hivi usingizi ukakata kabisa lkin nikawa nasisimkwa mwili isivyokawaida.najionea giza tu hapo niko macho kumbuka baadae nikawa naona uso wa mtu ila una jicho moja lipo ktkt ya kipanda uso na majitu kama mazombi ya kwenye movie.hee!!ikabidi kiamke nikatoka nje nili niwaamshe majirani.ikumbukwe sina usingizi kabisa na wala sipo ndoton.

Wakati naelekea kuwaamsha majiran nikakumbuka nina maji ya baraka ndani ikabidi nirud nijimwagie maji ya baraka kitanda na sehemu zote za chumban.nikarudi kulala.yani ni kama nimeyafungulia sasa yakaja upya na makucha juu ila kwa sasa yalikuja kama vile naota lkni niko macho kabisa.mwili mzimaaa ulikuwa unasisimka upande wa kushoto na kulia naona giza kabisa.kweli niliogopa sana.

Kilichonichanganya zaidi ni ule uso wa yule mtu.ni sura ya mtu ninaemfahamu tena ni mtu wangu wa karibu kabisa na mimi.kweli katika hali ya kibinadamu naogopa jmn wakti mwingine.naogopa hata kuingia ndani jmn.

Poleni kwa urefu wa uzi.nimeona nishee nanyi hiki kilichonisumbua usiku wa leo.
kwanza nikupe pole, fuatilia hiyo habari uliyokuwa unaisikiliza kwa mwakasege then ielewe vizuri kwani inaujumbe wako, na hao jamaa hawataki usikilize ili usivuke.

Swala la imani lisikutishe, kwenye agano jipya hatuitaji imani kubwa sana ili kupata vitu toka kwa MUNGU, tunahitaji kuelewa tunachotaka na kukitafuta, tofauti na agano la kale walihitaji imani sanaaa, lakini kwenye agano jipya ukimkri kristo na kumfuata , Mungu anaachilia agano ndani yako hivyo imani inakuwa limejengwa ndani yako na inakuwa na wewe kila siku, ukishasikia kitu kikaingia ndani yako tiyari unayo imani yakutosha kuvuka hapo ulipo.

Pia achana na swala la maji ya baraka, agano jipya tumepewa DAMU ya YESU kama ndiyo tool ya agano ya kufanyia vitu, ukiweza sema tu NAWASHINDA KWA DAMU YA YESU KRISTO, utaona, then endelea kusoma na kujifunza DAMU ya YESU inafanyaje kazi ni inatumikaje, na utakapo kuwa unajifunza utakuwa unafungua maeneo mengine ya damu ya YESU ambaya ni mengi mno na unlimited.

matumizi ya vitu kama maji, sabuni, vitambaa, mafutaa, chumvi na nk, sio haswaa part ya agano jipya, ispokuwa ni mafunuo ya MUNGU kwa mtu, it cannot work to all equally, standard ni damu ya YESU, mafunuo huja kwa mtu specific na kutatua tatizo lake specific, hivyo sio jambo la kila mtu. Ukipata ufunuo juu ya jambo kama hilo sina shida MUNGU ndiye afanyae, lakini sio unapita mahali unakutana na mtu au mtumishi anakwambia chukua/nunua sabuni au maji ya baraka.

Usipoomba hawaji! sio kweli wanakuja ila hawapati resistance yoyote kwa sababu hakuna cha kuwazuia, ukiweka maji ya baraka hawaogopi kwa sababu sio sehemu ya agano jipya, hivyo ukiomba kwa damu ya YESU leo kesho omba tena, omba tena na tena, tena ,tena, wataacha kuja kabisa, lakini cha msingi omba ukiwa unajua unachofanya na unafahamu namna ya kutumia hiyo silaha unayoitumia.

Silaha tulizonazo ni kama ifuatavyo, ni nyingi sana nitataja mbili kwa kuanzia.
1.Damu ya Yesu,
-kazi yani kutusafisha na dhambi, unaomba msamaha na kujitasha kwa damu
-pia kutupatanisha na MUNGU
-Kufuta uovu wetu
-kuwashinda adui zetu wa rohoni
-Kuvunja nira za uovu
nk

2. Neno la MUNGU
-Kuthibitisha madai yetu
-kutekeleza ahadi ya MUNGU kwetu
-Kutuonyesha Mapenzi ya MUNGU juu yetu
-Kutupa nguvu ya kudai na kushindi
-Kutufundisha na kutuongoza
kwa mfano. MUngu amesema hutakuwa Mkia, ukiwa mkia unajua kabisa kunashida ila sitakiwi kuwa hivi
Mungu amesema umebarikiwa, kama hukuna baraka kuna shida tafuta ufumbuzi.

hiyo ndiyo kzi ya neno. kwa case ya kwako sasa, MUNGU ni mkuu sana na sisi tunatawala pamoja na MUNGU hivyo pepo hatakiwi kukutawala wewe, theni unajifunza kwanini natawaliwa, unatumia ahadi za MUNGU, na silaha zake kama neno na damu unajiweka sawa then unapambana unavuka. kirahisi tu utakuvuka, na kadili unvyojifunza ndivyo unajaa ufahamu na kazi inakuwa nyepesi, chukulia mafano mtu aliyesoea kilimo na aamua kulima, na yule ambaye hajasomea kilimo na akamua kulima pia, aliyesomea atakuwa na utawala mzuri na maarifa ya kilimo zaidi hivyo ni rahisi kufanya vizurii, na yule asiyesomea kwa kadiri anavyolima na kutafuta maarifa ndivyo atakuwa bora na kufanya vizuri zaidi( hapo sio swala la imani bali ni maarifa)
 
Soma neno likae moyoni mwako... Hiyo ndio siraha tosha kabisa.

Sent from my TECNO-L5 using JamiiForums mobile app
 
Ndivyo nilivyo mimi japo kwa siku za hivi karibuni imepungua kidogo.

So siku hizi husali tena sio!!
sitaki tena imani za kirokole za kuwindana na majini/ mapepo, naamini katika Yesu na naishi maisha asilia!!
 
Ukiona kitu kama hicho it's damu ya yesu, njoo kesho ubungo Emaus kituo cha karesmatik kuna kongamano limeanza,muda SAA 3 had sits unafanyiwa deliverence na SAA 8 had 12 ndo Luna kongamano lenyew mahubir na maombez
Na kazi huwa mnafanya saa ngapi kama asubuhi yote hiyo mnadamkia kwenye maombi?

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
kwanza nikupe pole, fuatilia hiyo habari uliyokuwa unaisikiliza kwa mwakasege then ielewe vizuri kwani inaujumbe wako, na hao jamaa hawataki usikilize ili usivuke.

Swala la imani lisikutishe, kwenye agano jipya hatuitaji imani kubwa sana ili kupata vitu toka kwa MUNGU, tunahitaji kuelewa tunachotaka na kukitafuta, tofauti na agano la kale walihitaji imani sanaaa, lakini kwenye agano jipya ukimkri kristo na kumfuata , Mungu anaachilia agano ndani yako hivyo imani inakuwa limejengwa ndani yako na inakuwa na wewe kila siku, ukishasikia kitu kikaingia ndani yako tiyari unayo imani yakutosha kuvuka hapo ulipo.

Pia achana na swala la maji ya baraka, agano jipya tumepewa DAMU ya YESU kama ndiyo tool ya agano ya kufanyia vitu, ukiweza sema tu NAWASHINDA KWA DAMU YA YESU KRISTO, utaona, then endelea kusoma na kujifunza DAMU ya YESU inafanyaje kazi ni inatumikaje, na utakapo kuwa unajifunza utakuwa unafungua maeneo mengine ya damu ya YESU ambaya ni mengi mno na unlimited.

matumizi ya vitu kama maji, sabuni, vitambaa, mafutaa, chumvi na nk, sio haswaa part ya agano jipya, ispokuwa ni mafunuo ya MUNGU kwa mtu, it cannot work to all equally, standard ni damu ya YESU, mafunuo huja kwa mtu specific na kutatua tatizo lake specific, hivyo sio jambo la kila mtu. Ukipata ufunuo juu ya jambo kama hilo sina shida MUNGU ndiye afanyae, lakini sio unapita mahali unakutana na mtu au mtumishi anakwambia chukua/nunua sabuni au maji ya baraka.

Usipoomba hawaji! sio kweli wanakuja ila hawapati resistance yoyote kwa sababu hakuna cha kuwazuia, ukiweka maji ya baraka hawaogopi kwa sababu sio sehemu ya agano jipya, hivyo ukiomba kwa damu ya YESU leo kesho omba tena, omba tena na tena, tena ,tena, wataacha kuja kabisa, lakini cha msingi omba ukiwa unajua unachofanya na unafahamu namna ya kutumia hiyo silaha unayoitumia.

Silaha tulizonazo ni kama ifuatavyo, ni nyingi sana nitataja mbili kwa kuanzia.
1.Damu ya Yesu,
-kazi yani kutusafisha na dhambi, unaomba msamaha na kujitasha kwa damu
-pia kutupatanisha na MUNGU
-Kufuta uovu wetu
-kuwashinda adui zetu wa rohoni
-Kuvunja nira za uovu
nk

2. Neno la MUNGU
-Kuthibitisha madai yetu
-kutekeleza ahadi ya MUNGU kwetu
-Kutuonyesha Mapenzi ya MUNGU juu yetu
-Kutupa nguvu ya kudai na kushindi
-Kutufundisha na kutuongoza
kwa mfano. MUngu amesema hutakuwa Mkia, ukiwa mkia unajua kabisa kunashida ila sitakiwi kuwa hivi
Mungu amesema umebarikiwa, kama hukuna baraka kuna shida tafuta ufumbuzi.

hiyo ndiyo kzi ya neno. kwa case ya kwako sasa, MUNGU ni mkuu sana na sisi tunatawala pamoja na MUNGU hivyo pepo hatakiwi kukutawala wewe, theni unajifunza kwanini natawaliwa, unatumia ahadi za MUNGU, na silaha zake kama neno na damu unajiweka sawa then unapambana unavuka. kirahisi tu utakuvuka, na kadili unvyojifunza ndivyo unajaa ufahamu na kazi inakuwa nyepesi, chukulia mafano mtu aliyesoea kilimo na aamua kulima, na yule ambaye hajasomea kilimo na akamua kulima pia, aliyesomea atakuwa na utawala mzuri na maarifa ya kilimo zaidi hivyo ni rahisi kufanya vizurii, na yule asiyesomea kwa kadiri anavyolima na kutafuta maarifa ndivyo atakuwa bora na kufanya vizuri zaidi( hapo sio swala la imani bali ni maarifa)
Mwanzo nilisikiliza vizur kabla usingizi haujanipitia lkni sasa sikumbuki chochote kila alichokisema mwl.Christopher Mwakasege.

Asante sana mkuu umenifungua sana.nitakuwa nikiipitia comment yako kila mara.asante mno
 
Na kazi huwa mnafanya saa ngapi kama asubuhi yote hiyo mnadamkia kwenye maombi?

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Hahahahahahahahaha
 
Wakati mwingine wachawi hutumia sura ya MTU ili kuwagombanisha. Cha msingi acha michanganyo namaanisha acha dhambi alaf simama imara katika kuomba na kusoma neno. Ukiona vitu kama hvyo kemea tena kwa maandiko

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu nimekuelewa.nitaufanyia kazi ushauri wako mkuu
 
Ngoja nisimame kwenye kanisa langu mkuu.na amini kama ni kukua kiimani hapa nilipo pia nitakuzwa.

Asante mkuu kwa kunijali
Mkuu nakushauri nenda mueleze kiongozi wako wa kiroho lkin zaidi ongeza Sala binafsi na jitahidi kujiamini
 
Na imani nyote ni wazima.
Moja kwa moja kwenye mada.

Ndgu zanguni hapo kabla nilikuwa nilikuwa siamini kuna wachawi ingawa nilikuwa nikisikia watu wakisema.
Hapo kabla nilikuwa nikiota ndoto mbaya sana na wakati mwingine nikijikuta natoka nje bila kujua usiku wa manane wakati huo nakuwa siko ktk hali ya kawaida kbsa.naweza kusema ni Mungu tu.

Ile hali ya ndoto mbaya ikawa inazidi nikaanza kwenda kwenye maombi.nilipoanza maombi ni kama nilizidisha nilikuwa nikiota ndoto mbaya nyingi zikiwa za mijoka mikubwa yenye rangi ya gold na yellow.nikalifikisha kwa mchungaji nikafanyiwa maombi ile hali ikawa inapotea kidogokidogo.ikafikia hatua naota mara chache sana.kwahiyo nikawa najisimamia mwenyew kukemea hizo ndoto

Jana usiku nikawa namsikiliza mwakasege saa tatu usiku(huwa ni utaratibu wangu wa kusikiliza mahubiri yake).lakini jana ile anaanza nikapata usingizi ghafla nakuja kustuka anamalizia.nikalala.

Sasa usiku wa saa saba hivi usingizi ukakata kabisa lkin nikawa nasisimkwa mwili isivyokawaida.najionea giza tu hapo niko macho kumbuka baadae nikawa naona uso wa mtu ila una jicho moja lipo ktkt ya kipanda uso na majitu kama mazombi ya kwenye movie.hee!!ikabidi kiamke nikatoka nje nili niwaamshe majirani.ikumbukwe sina usingizi kabisa na wala sipo ndoton.

Wakati naelekea kuwaamsha majiran nikakumbuka nina maji ya baraka ndani ikabidi nirud nijimwagie maji ya baraka kitanda na sehemu zote za chumban.nikarudi kulala.yani ni kama nimeyafungulia sasa yakaja upya na makucha juu ila kwa sasa yalikuja kama vile naota lkni niko macho kabisa.mwili mzimaaa ulikuwa unasisimka upande wa kushoto na kulia naona giza kabisa.kweli niliogopa sana.

Kilichonichanganya zaidi ni ule uso wa yule mtu.ni sura ya mtu ninaemfahamu tena ni mtu wangu wa karibu kabisa na mimi.kweli katika hali ya kibinadamu naogopa jmn wakti mwingine.naogopa hata kuingia ndani jmn.

Poleni kwa urefu wa uzi.nimeona nishee nanyi hiki kilichonisumbua usiku wa leo.
Unajuaje kwamba ni wachawi na si ugonjwa wa akili tu?

Sent from my Kimulimuli
 
Ukiona kitu kama hicho it's damu ya yesu, njoo kesho ubungo Emaus kituo cha karesmatik kuna kongamano limeanza,muda SAA 3 had sits unafanyiwa deliverence na SAA 8 had 12 ndo Luna kongamano lenyew mahubir na maombez

Tumeshajadili sana haya mambo humu kuhusu imani za uchawi,wachawi na pilikapilika zao lakini naona watu wana vichwa vigumu! Ninyi munaogopesha watu na hayo "madude" yenu hamna kazi zingine za kujiongezea kipato? Kanisa Katoliki halina mafundisho juu ya uchawi wala wachawi.Kanisa lilishaweka wazi kuwa hayo mafundisho ya kutapeliana na ni ya kukopa.Wewe Charismatic inakuwaje unapingana na mafundisho mama? Hamna njia nyingine ya kujipatia vipato hadi mchukue nafasi kutapeli watu namna hii?
 
Hizo ni hallucinations tu unapata wala siyo uchawi
Ni dalili fulani ya ugonjwa wa akili, nenda hospital uonane na daktari wa magonjwa ya akili (psychiatrist) atakuelezea vzr tu wala hutaona ni uchawi na dawa utapatiwa hiyo hali itaisha

Hayo maombi yangekuwa ni dawa ungeshapona

Wengi wanapoteza maisha au hali zao kuwa mbaya kwa magonjwa ambayo yanatibika kwa kulink na uchawi

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Na imani nyote ni wazima.
Moja kwa moja kwenye mada.

Ndgu zanguni hapo kabla nilikuwa nilikuwa siamini kuna wachawi ingawa nilikuwa nikisikia watu wakisema.
Hapo kabla nilikuwa nikiota ndoto mbaya sana na wakati mwingine nikijikuta natoka nje bila kujua usiku wa manane wakati huo nakuwa siko ktk hali ya kawaida kbsa.naweza kusema ni Mungu tu.

Ile hali ya ndoto mbaya ikawa inazidi nikaanza kwenda kwenye maombi.nilipoanza maombi ni kama nilizidisha nilikuwa nikiota ndoto mbaya nyingi zikiwa za mijoka mikubwa yenye rangi ya gold na yellow.nikalifikisha kwa mchungaji nikafanyiwa maombi ile hali ikawa inapotea kidogokidogo.ikafikia hatua naota mara chache sana.kwahiyo nikawa najisimamia mwenyew kukemea hizo ndoto

Jana usiku nikawa namsikiliza mwakasege saa tatu usiku(huwa ni utaratibu wangu wa kusikiliza mahubiri yake).lakini jana ile anaanza nikapata usingizi ghafla nakuja kustuka anamalizia.nikalala.

Sasa usiku wa saa saba hivi usingizi ukakata kabisa lkin nikawa nasisimkwa mwili isivyokawaida.najionea giza tu hapo niko macho kumbuka baadae nikawa naona uso wa mtu ila una jicho moja lipo ktkt ya kipanda uso na majitu kama mazombi ya kwenye movie.hee!!ikabidi kiamke nikatoka nje nili niwaamshe majirani.ikumbukwe sina usingizi kabisa na wala sipo ndoton.

Wakati naelekea kuwaamsha majiran nikakumbuka nina maji ya baraka ndani ikabidi nirud nijimwagie maji ya baraka kitanda na sehemu zote za chumban.nikarudi kulala.yani ni kama nimeyafungulia sasa yakaja upya na makucha juu ila kwa sasa yalikuja kama vile naota lkni niko macho kabisa.mwili mzimaaa ulikuwa unasisimka upande wa kushoto na kulia naona giza kabisa.kweli niliogopa sana.

Kilichonichanganya zaidi ni ule uso wa yule mtu.ni sura ya mtu ninaemfahamu tena ni mtu wangu wa karibu kabisa na mimi.kweli katika hali ya kibinadamu naogopa jmn wakti mwingine.naogopa hata kuingia ndani jmn.

Poleni kwa urefu wa uzi.nimeona nishee nanyi hiki kilichonisumbua usiku wa leo.

Huyo Mwakasege endeleeni tu kumsikiliza matokeo yake ndo hayo ya kutiana hofu zisizo za lazima.Anawapotosheni sana! Mara afundishe juu ya laana,mikosi mara "magundu"! Hivi Mungu wa kweli anaweza kumuumba kiumbe wake na kisha amtie mikosi na laana? Hivi makosa aliyofanya Baba,shangazi yanawezaje kuja kuwadhuru wajukuu au Vitukuu? Hebu waambieni hao wahubiri wenu uchwara watafute njia nyingine ya kuwanasa.Hii technique muda si mrefu nayo watu wataiona hainna mashiko na watawahama vile vile. Ya miujiza imekosa mashiko sasa wanabenderea hii ya uchawi,mikosi na magundu.Hivi huyo Mwakasege kasoma wapi Theology ya uhakika na katika Vyuo Vinavyotambulikana hadi umpe masikio kiasi hicho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom