Hongera bana.Ndio nipo poa kabisa.. Tangu nimalize advance sikuona tena hayo mandoto sa sijui walikua wanafunzi wenzangu sijui kina nani sijui hata make nilisomea bweni na ilikua mchanganyiko wa wanafunzi wengi wengi toka sehemu mbali mbali .
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu nashukuru kwa ushaur ndg yanguOkoka, then anza tabia ya kufunga na kuomba. Achana na maji ya baraka ww angusha maombi ya nguvu. Tena uwe unaenda makanisa ya kiroho hasa ya kipentekoste
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Kipindi naripot kazini sasa sekeseke jingineeeHongera bana.
Labda pengine ilikuwa ni hapo shuleni au wanafunzi wenzako.yote yawezekana
Teh!!!ulikuwa unakaribishwa makazi mapya.aiseeh.wanadamu kazi tunayo.huu ulimwengu una vitu vingi mnoKipindi naripot kazini sasa sekeseke jingineee
Usiku Juu ya bati nilikua nasikia kama watu wanacheza ngoma,, siku nyingine ngine kama wanatembea juu ya bati mara nisikie kama mandege makubwa yanatua juu ya bati.. Na kuna siku moja niliona kama nimelala kitandani pembeni ya kitanda naona kama mtu mrefuuu kasimama kavaa linguo jeusi yani mi nimelala ye kasimama pembeni yangu.
Sa sijaelewa sijui ni uwoga wangu labda sijui ni kweli...
Nami Nina maji ya baraka pia
But badae sikuona tena hayo mauzauza
Sa sijui Wachawi walikua wananikaribisha duhhhhhhhhhhh
Cc Smart911
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Sasa hayoTeh!!!ulikuwa unakaribishwa makazi mapya.aiseeh.wanadamu kazi tunayo.huu ulimwengu una vitu vingi mno
Kwa nyumba mpya kawaida hizo mambo kutokeaKipindi naripot kazini sasa sekeseke jingineee
Usiku Juu ya bati nilikua nasikia kama watu wanacheza ngoma,, siku nyingine ngine kama wanatembea juu ya bati mara nisikie kama mandege makubwa yanatua juu ya bati.. Na kuna siku moja niliona kama nimelala kitandani pembeni ya kitanda naona kama mtu mrefuuu kasimama kavaa linguo jeusi yani mi nimelala ye kasimama pembeni yangu.
Sa sijaelewa sijui ni uwoga wangu labda sijui ni kweli...
Nami Nina maji ya baraka pia
But badae sikuona tena hayo mauzauza
Sa sijui Wachawi walikua wananikaribisha duhhhhhhhhhhh
Cc Smart911
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Aiseeh...hii kitu kama haijawahi kumtokea mtu anaeza akajua mtu anaongea uongo au anajifanyisha lkni ukwel hivi vitu vipo sana asikwambie mtuSasa hayo
Makazi nilipokua kipindi hiko nasikia ilikua balaa kwa uchawi ni nuksiiiii......
Yani nahisi walikua wananikaribisha kunitest mtoto wa watu
Cc Smart911
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Dawa ndo hiyo. Ila kaombewe mwaya.Hahahaha..umeua bendi mkuu
Upo sawa kabisa chiefSali, funga na kuomba.
Jikabidhi kwa Yesu totally, hii hali itapotea kabisa. Jina la Yesu ndiyo kiboko ya hayo mambo yanayokusumbua.
Hiyo sura ya rafiki si yeye, ni mbinu za wachawi kujificha.
Achana na Maji ya baraka, hiyo ni Tiba mbadala, ukitumia hayo Maji ndo unawaongezea nguvu wachawi.
Samahani kwa niliyemkwaza.
Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
SANCTUS ANACLETUS.......nasubiri kwako Kimya Mkuu...
Una
Unasubiria lipi tena? Ninakuwa hapa pale ninapokuwa na muda vinginevyo majukumu mengine yanachukua nafasi.Hiyo literature yako yako ya Biology ifanyie "maboresho" kidogo.
Do Children Inherit Their Parents' Personalities?
https://www.google.co.tz/amp/s/www.psychologytoday.com/blog/the-human-beast/201509/what-behaviors-do-we-inherit-genes?amp