Wachawi wanaswa kanisa la ufunuo mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachawi wanaswa kanisa la ufunuo mwanza

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, May 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 420,741
  Trophy Points: 280
  hii kweli inatisha na suluhisho ni nini hapo?
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @Rutashubanyuma Suluhisho la hapo ni kupelekwa kwenye chombo cha Serikali Mahakamani kisha kwenda jela.
   
 4. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Inasisimua
   
 5. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 3,426
  Trophy Points: 280
  Kuna tofauti kubwa sana kati ya freemasons na wachawi wa vipapai yani wachawi wa bongo tjou wote wanamuabudu shetani.. Usidhani freemasons kama Jigga au Bush wanaojitangaza wao wenyewe nao wanapanda ungo kama hao washenzi. Sembuse bngo nzima haman freemasom member hata mmoja cause Freemasons are damn racists, hapa States freemasons ni wengi sana na wengine wanasadiki Jigga sio mmoja wao coz ni mweusi anajiita tu yeye mwenyewe kwa manufaa yake binafsi so kama Jigga sio masonic hao mwatumbi ndo hata kwa dawa hawawezi kua masonic.. JUA KUNA TOFAUTI KATI YA FREEMASONS NA UCHAWI WA KIBONGO ILA SIWATETEI FREEMASONS.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sijui kwa nini nimeikataa.....

   
 7. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Jaman mbona kwangu haijafunguka!!!!
  Sijui hili pc lishakuwa kimeo!!!!!!!!1
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Lol duniani kuna matukio jamani ..
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ipeleke kwa fundi ..
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Suluhisho ni kuchomwa moto tu....!!!
   
 11. andate

  andate JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hao ilitakiwa wabanwe wawataje na wenzao wote haswa hao wakubwa wao, halafu wote wakamatwe wapewe adhabu kali sana iwe fundisho kwa wengine waliosalia.
   
 12. Fredrick Ishengoma

  Fredrick Ishengoma Verified User

  #12
  May 25, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu Bufa ni kweli kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Freemason na wachawi. Hao kwenye hiyo video sio Freemason na mkuu MziziMkavu amekosea title ya thread yake. Bufa, sio kweli kwamba ukiwa mweusi huwezi kuwa Freemason. Na ingekuwa hivyo, Freemasons wasingekuwa na Lodge zao Africa. Kwa mfano tu, Lodge za Freemasons ambazo zipo Tanzania ni zifuatazo :
  • 9532 - Installed Master's Lodge of Tanzania, FM Hall, Dar es salaam
  • 5299 - Guiding Star Lodge, FM Hall, Dar es salaam
  • 5095 - Dar es salaam Lodge, FM Hall, Dar es salaam
  • 9794 - Lodge East Africa, FM Hall, Moshi
  • 7504 - Mount Meru Lodge, FM Hall, Arusha
  • 7485 - Mwanza Lodge, FM Hall, Mwanza
  • 5111 - Kilimanjaro Lodge, FM Hall, Moshi
  • 4850 - Tanga Fraternity Lodge, FM Hall, Tanga
  • 4385 - Heaven of Peace Lodge, FM Hall, Dar es salaam  :coffee:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 3,426
  Trophy Points: 280
  Well! Mkuu mamabo ya freemasons hatuwezi ya jua sana kiundani since we ain't members inawezekana weusi wapo au hawapo pia, kuwa na lodges za fm africa doesn't mean kwamba there are some african folks in fm group, labda zinamilikiwa na wazungu na pia hamna mwenye uhakika wa hizo lodges. In short haya mambo ni yakuongelewa tu huwa hayana facts za uhakika hata siku moja that's why sipendi kuyazungumzia na kuyaamini sana pia.
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,862
  Trophy Points: 280
  magumash tu hayo.wanasaka wateja wa kwenda kanisani mwao.wizi mtupu
   
 15. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,351
  Likes Received: 2,692
  Trophy Points: 280
  "Usilolijua ni kama usiku wa giza"
  Usiseme hayana facts kwa kuwa ama hupendi kuyazungumzia au kuyaamini...kimsingi ni kwamba huyajui kabisa.
  Kuna wakati mwanafizikia wa karne Albert Einstein ashawahi kutamka, "Kama hauwezi kulidadavua jambo kwa namna iliyo rahisi, basi tambua ya kwamba hilo jambo hulielewi ipasavyo".
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu nakupenda daima kwa kua unajishughulisha na maisha yangu. thats all.
   
 17. m_kishuri

  m_kishuri JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 1,489
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hamna uchawi wowote. Hao wote njaa tu. Wapeni kazi ya kudumu muone kama watakuwa wanahangaika usiku kucha. By the way, kwa nini wachawi wanaokamatwa ni wakina dada tu peke yao? Kwa kumbukumbu zangu, VIGAGU vyote mashuhuri mitaani na vijiji kwetu wanakuwaga WAKINA BABA. lakini wanozingishiwa kila siku ni wakina maama. Maajabu ya Mungu haya.
   
 18. Bufa

  Bufa JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 4,190
  Likes Received: 3,426
  Trophy Points: 280
  Nijurishe wewe basi unayedhani kwamba unajua. Kimsingi wewe pia umeambiwa tu na watu na baada ya kuona yanazungumziwa sana na watu wanaogopa basi na wewe ukaanza kuogopa bila kujua ni nini hasa kinakuogopesha. Wabongo walio wengi wanaendeshwa sana na mambo ya dini, wanatoa vyote walivyonavyo makanisani huku wao wakiendelea kua masikini wa kutupwa na sasa wameambiwa kuhusu freemasons basi ndo hawashikiki, sahizi mbongo kwa kitu chochote kile either cha ajabu au kizuri atakihusisha na fm coz wameshaaminishwa hivyo na hata hawajui kiundani fm ni nini?. Naamini hata kama fm wapo basi uchawi wao sio wa kipuuzi hivyo wa kuruka na maungo na kujawa na shida hivyo. Ni upuuzi kuamini kila kitu ni cha masonic.
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Fredrick Ishengoma Angalia hao Ma Free Mason ni Wachawi wakubwa duniani.

  @Rutashubanyuma @Buf @Preta @Cantalisia @FirstLady1 @Katavi @andate @flora msoffe @watu8 @gfsonwin @m_kishur
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Fredrick Ishengoma

  Fredrick Ishengoma Verified User

  #20
  May 26, 2012
  Joined: May 6, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu MziziMkavu, nashauri tusifanye reference ya Freemasons kwa kutumia video za Youtube. Kwasababu video nyingi zinazotengenezwa kuhusu Freemasons ni kwaa jili ya kutengeneza hela tu. Mimi leo mfano nna account Youtube nnaweza fanya mahojiano (ambayo hayana proven facts zozote), nka upload kwenye Youtube, nkatengeneza DVD nkauza mtaani nkapata hela ya kula. Nashauri tu argue kwa kutumia reference za kwenye vitabu. Kuna vitabu vingi tu vimeandika kuhusu hawa mabwana.

  Freemasons wanakuwa traced back mwishoni mwa karne ya 16, mwanzoni mwa karne ya 17, ambapo Grand lodge yao ya kwanza waliijenga 1717 England, walikuwa ni wajenzi ambao wana tumia Geometry kuweza kuturn simple drawing kuwa big structure buildings. Zile mathematics za kumanuver hizo drawings zilikuwa ni za siri sana na zilikuwa zinalindwa mno, na ndio wakati huo walianza utamaduni wa kutumia secrets handshakes na signs ili kujuana wanapokutana pande mbali mbali za dunia. Hizo trade secrets walizilinda kwakuwa zingejulikana kazi yao ingeshuka thamani. Na huo utamaduni wa siri ndo umeendelezwa mpaka kwenye hii modern Freemasonry ambayo wameturn kuwa some sort of fraternal organisation.

  Freemasons wana perfom rituals, lakini sidhani kama ni lugha sahihi kuwaita wachawi. Mfano, kwa makabila mengi ya kibantu tuna matambiko. Je, ule ni uchawi?


  NB: Siwatetei hawa mabwana ila ningependa tujalidi facts

  :ranger:
   
Loading...