magumash tu hayo.wanasaka wateja wa kwenda kanisani mwao.wizi mtupu
ukute dili la kutaka umaarufu tu hapo.
Nikitazama sana naona kuwa hivi ni vita vya makanisa. Ngoja niendelee.
Huyo "mchungaji" anajitangazia biashara tu!
Fredrick Ishengoma Angalia hao Ma Free Mason ni Wachawi wakubwa duniani.
@Rutashubanyuma @Buf @Preta @Cantalisia @FirstLady1 @Katavi @andate @flora msoffe @watu8 @gfsonwin @m_kishur