Wachawi wanaswa kanisa la ufunuo mwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachawi wanaswa kanisa la ufunuo mwanza

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Viper, May 22, 2012.

 1. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wachawi wawili wanaodai ni waumini wanaosali RC wakamatwa mwanza! cheki video! sijui ni ukweli au usanii tu

  jamaa wamepaa kutoka kigoma hadi mwanza! alafu shori mjamzito...!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Haya makanisa mengine ya kimagumash tuuu,
  wanatengenezaga hayo ili watu wawaamini kumbe hakuna kitu wizi mtupu
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  Ni danganya toto tu wanataka waumini wajae kanisani kwao,
  mchawi gani amepaka na mgorogo, nywele kanyoa vizuri na
  kuchana kazichana. Watandikeni viboko muone kama
  hawatasema ukweli.
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  umeona eee,ni kama hapa dar kuna mwanamama alicheza dili
  kama hili wananji walivyompa vitasa vya maana
  akasema ni dili na mganga alimdanganya kuwa hakutakuwa
  na watu wengi walimpa elfu 50 eti anasema ugumu wa maisha ndo
  ulimfanya ajiingize kwenye magumash hayo
   
Loading...