Wachawi wamemchukua mwanangu


Du! Hatari! Anyway asante.
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu
 
Asante mkuu
Kwa kumalizia tu kuwa uchawi unaweza ukawapewa hata na jirani, ogopa jirani kuja kumpa mwanao jina. Kama huyo jirani hajaokoka, usithubutu mwanao kupewa jina. Majina yana nafasi kubwa saaana na yana maana pana sana ktk ulimwengu wa roho. Jina la mtoto wako mpe mwenyewe maana wewe pekee ndo ujuae usalama wa hilo jina. Ktk madhabahu za kichawi huwa wanatambua washirika wao kwa majina na kila mshirika kuna roho za uchawi anazo. Mshirika anapokufa au kuacha uchawi ina maana na zile roho za uchawi zinarudi ktk ile madhabahu pamoja na lile jina linakuwa halina mtu. Sasa ili kufanya urahisishaji kwa mchawi mpya huwa wanampa jina la yule marehemu, kwahiyo huyo mtoto anabeba tabia na maroho yote mabaya ya yule marehemu. Na wachawi watamtambua huyo mtoto kwa hilo jina.

Mara nyingi huwa ktk falme zao wanatumia majina mengine, ukimuona mtu yoyote aliyeacha uchawi ataweza kukuthibitishia hili. Mtaani au shule anatumia jina hili ila akiwa kule anatumia jina lingine na kama analitumia hilohilo basi ni jina ambalo amepewa tangu akiwa mtoto na hayo maroho huyo mtoto anakuwa nayo.

****Kama una swali niulize PM*****
 
Duh! Wachawi sijui kwanini waliumbwa!

Katika ulimwengu qa roho kuna Falme mbili GIZA na NURU wanaofata NURU niwale wanaomuabudu MUNGU wa Kweli vile vile wanaobudu ufalme wa Giza ni wa shetani....na Falme zote hizo zina nguvu naweza kusema sawa.....so uchaguzi ubaki nao mwanadamu kwahiyo kuwepo kwa wachawi ni moja ya Jamii iliyochagua ufalme wa giza unaoongozwa na shetani....
 

Yohana 1:5 inasema kuwa nuru yang'aa gizani na wala giza halikuiweza nuru. Hizi falme hazipo sawa Mkuu, Mungu huwezi kumlimganisha na shetani kwa nguvu ama kwa chochote kile. Biblia inasema Giza halikuiweza Nuru nayo Nuru yang'aa gizani. Nuru ndie Yesu Kristo. Hakuna mchawi wala mganga wakuweza kukuharibu ukiwa umefunikwa na Nuru ya Kristo Yesu. Amina.
 

Ubarikiwe mtumishi wa Mungu huo ndio ukweli
Hakuna uganga wala uchawi kwa mutu aliye ndani ya kristo.
 

Nikweli kwamba GIZA halikuiweza NURU sikusema kuwa GIZA linaiweza NURU hapana nilichosema hizo falme kwakuwa zinapingana (NAWEZA KUSEMA ) ziko sawa kwa maana ya zinavyoshindana sio kwamba....ZIKO SAWA point yangu iko hapo....
 
kuna threas ilikua inasema asilimia 60 ya Watanzania wanaamini ushirikina. kwa kusoma comments tu naanza kuamini


Mama alimuacha peke yake? Kwa nn hukuenda kupima akitobolewa na nini? Km je paka alitaka kumla? Jmn usirukie upande mmoja tu na kutoa conclusion. Pole sana

Unasema hukuuliza mtoto kafa kwa ugonjwa gani halafu unadai karogwa?!! Acha fikra za kizamani Mkuu,
.

Yani hakuna aliyejishughulisha kutoa maelezo yoyote ya kitabibu.

Ndo walewale bibi mchana kaenda kulima alikuwa mzima, alivyorudi kaumwa. Kafa uaingizini. Wamemroga bibi yetu. . Wakati alipata stroke.

Ukiokota mtoto wa paka barabarani ukamlee nyumbani, utaambiwa "shauri zako subiri akuongeleshe, embu tupa huo uchawi". Wakati wenzenu wakiokota wanyama wanawajali kama binadamu.

NDOMANA HAMUENDELEI! Kila kitu uchawi.

the Counsellor. pole kwa kufiwa. tafuta maelezo ya kitabibu. Hakuna aliyemroga mwanao
 
Last edited by a moderator:

umri wa siku tatu?
 

Dah unafanya nistaajabu kumbe mambo ya ajabu ivi asee:Nataka kujua maana ya jina la "kijakazi"plz
 

Kwani ilikuwa lazima kuwataja wachaga in direct mkuu.
 

Hapana uganga juu ya Israel wala hapana uchawi juu ya Yakobo
 
Dah unafanya nistaajabu kumbe mambo ya ajabu ivi asee:Nataka kujua maana ya jina la "kijakazi"plz

Mkuu kuwa makini sana na Jina ..lako..aidha unalompa Mtoto....ikiwa una mashaka na jina lako kwamba hujui asili yake Fanya fasta ulikomboe....Tatizo wengi wetu hasa tuliozaliwa vijijini.....Tunakawaida yakupeana majina labda ya Shangaz...Mjomba...babu...Tunafanya km kumuenzi huyo mwenye jina ni Hatari sana maana ataishi maisha ya mmliki wa hilo jina Jitahidi kutafuta mafundisho yanayohusu Nguvu ya Majina na Asili ya kuzaliwa kwako ndio utaelewa vzr
 

Asante nashukulu kwa ufafanuzi zaid ubarikiwe
 
Pole mkuu, eti wanasema kama ni wachawi wamemchukuwa ukifukuwa kaburi humkuti. Usifanye hivyo.
 
Mkuu peleleza sana na ukimpata mi ntakusaidia kumshughulikia. Ntahakikisha kila siku naondoa kiungo kimoja kimoja kuanzia miguu, mikono, macho na mwisho ntamchemsha kwenye mafuta ya moto mpaka aive then ndo naenda kumzika mwenyewe. Dawa ya moto ni moto tu hakuna namna ya kupunguza hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…