Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

Joshua Mbezi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,506
Reaction score
2,898
Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu

Mfano njia za
Kisayansi/teknolojia
Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri,

Kisiasa/kidemokrasia
Kwenye siasa naona tayari tumeharibu Wala hakuna Matumain ya kupata mabadiliko kupitia njia hii iwe self changes or national changes kwa njia hii hatuwez kupata mabadiliko

Religious beliefs
Dini za kurithi (Christian/Muslim) nazo naona haziwezi kutuletea mabadiliko zaidi ya kuendelea kutunyonya na kutugawa

Sasa nahisi ni wakati wenu wachawi wa hili taifa kuonesha umwamba wenu

Itabidi mnipe uchawi 😎 na uchawi ninaoutaka sio wa kula mizoga makaburini Wala kukimbinzana na akina mwamposa

Nataka uchawi kwa maslahi mapana ya taifa na private issues

Kwa maslahi mapana ya taifa uchawi wenu utanisaidia kufanya yafuatayo

_kutandika viboko vya mgongoni wanasiasa wote wanaochafua taswira ya nchi yetu.

_kuwapa kichaa wanasiasa wote wasio timiza ahadi zao kwa wananchi

_kuwaotesha vibyongo na kuwapa mabusha wananchi wote machawa na wasio wajibika kwa jamii

_kuwapiga upofu na ukoma wanasiasa wote wanaosaini miktaba ya kuuza rasimali za taifa letu

_kuhakikisha watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama wanawajibika kwa wananchi

Private issues
Uchawi wenu utanisaidia kufanya yafuatayo kwa ajiri ya manufaa yangu

_ kumfanya ex wangu atulie kwenye familia yake 😎

_Kuongeza jitihada za kutafuta maokoto😋

Nb
Ata ninyi wachawi mnao nafasi ya kulijenga taifa lenu ili ata katiba ijayo mtambulike rasmi na kupewa uwakilishi bungeni
 
Hakuna kitu huko.. Dhana halisi ya uchawi ni kuharibu sio kujenga
Mkienda wawili kwa mgangq mchawi mmoja akitaka jambo jema na mwingine jambo baya.. Wa jambo baya atasaidika haraka zaidi

Wachawi na washirikina hawawezi kutengeneza umoja kwakuwa wana tabaka za ujuzi na kila tabaka lina vigezo vyake
Wachawi hawawezi kuliponya taifa kwakuwa kati ya hao walioliharibu wengi wao ni wateja wao

Uchawi wa sasa kwa sehemu kubwa almost 90% ni utapeli maana hauna nguvu tena!
Nguvu ya uchawi iko kwenye uasili iwe ardhi, mnyama, mti mmea nk! Sasa ardhi imechakachuliwa na kuwa contaminated kwa kiwango cha juu mno! Vingine vyote vinakosa nguvu.. Maana ardhi ndio baba lao
 
Back
Top Bottom