Hao wenye michango wapewe Mebendazole (antworms medication)
Hahaha .. mkuu uiowataja hapo
ni watata wote ... uzuri wa jf watu hao ndio wana balance jf ikawa
nzuri zaidi ... tunapata upande wa pili wa hoja sio kila kitu ndio tu
...
Malariasugu sijui kapotezewa wapi ?
Pia Napenda sana watu wanaojibu dry bila kuangalia nani aliyeleta hoja
...
umeona eh kaka.
aise hata mimi nashindwa kuelewa huyu Malaria Sugu sijui wamemu westgate ama vipi.
Nalog off
Wewe sio mmachame?
Mupenziiii hata posts zako nzuri sana haswa ukiwa siasani...wajua kujenga hoja!!!
...wako wa moyo huyooo...umempeleka wapi?
...wako wa moyo huyooo...umempeleka wapi?
Hao wenye michango wapewe Mebendazole (antworms medication)