Aaahhaaa haaa haa haaa Maujikoooo MAKOFI TAFADHARI JAMANI.. NI VIMAMBO TU...
Kwa mfano ikitokea leo hii mkuu akituambia tupige kura ya nani mchangiaji mwenye point na maana
namaanisha unaedhani anachangia vizuri kwenye JF Wewe utawataja nani na nai/ hebu taja watano:help::help::help:
My huz Ben Saanane
Kuna wana jf wana michango hadi wanatisha jaribu kupitia siasani ukaone vitu.
Kuna wana jf wana michango hadi wanatisha jaribu kupitia siasani ukaone vitu.