Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

Hakuna vita hapo,wacha tuangalie maigizo katikati ya taarifa za habari!
 
Kwa sasa tunaloamin ni hili MOAB, kwa sababu ni combat tested.

Vipi FOAB ni combat tested?

Sijui wewe fani yako ni nini lakini inaoyesha you have no idea unacho zungumza, si kuna mitandao kwa nini u take trouble ya kutafuta ukweli, Americans wenyewe wanakubali uwepo wa the mighty Father Of All Bombs wewe mswahili ndiyo ulete ubishi!! Funny, don't you think? Mkuu hapa tunazungumzia mambo ya kisayansi i.e facts and figures siyo ushabeki husiyo na mantiki - figures za kisayansi zinazo onyesha utofauti wa mabom haya mawili zipo.
 
Hawezi kujaribu Makombora leo. Hata yeye anajua athari ya vita. Hakuna anayependa vita.
 
Sijui wewe fani yako ni nini lakini inaoyesha you have no idea unacho zungumza, si kuna mitandao kwa nini u take trouble ya kutafuta ukweli, Americans wenyewe wanakubali uwepo wa the mighty Father Of All Bombs wewe mswahili ndiyo ulete ubishi!! Funny, don't you think? Mkuu hapa tunazungumzia mambo ya kisayansi i.e facts and figures siyo ushabeki husiyo na mantiki - figures za kisayansi zinazo onyesha utofauti wa mabom haya mawili zipo.
Soma kwa makini nilichoandika,
,sijapinga uwepo wa FOAB. na nimeshasoma kuhusu FOAB kwa kias fulani.

Nilichosema mimi ni kwamba MOAB ndio hiyo tumeiona kazi yake, na imeshakua combat deployed/tested ndio mana nimeiamin

Siku FOAB nayo ikiwa combat tested/deployed nitaiamin,

Haya nipe hoja yako mkuu.
 
Ndugu soma vizuri nilicho ki post naona hujaelewa lolote?
Tatizo watu wengi hawajui kuhusu North korea na technology yao,hawa jamaa kufika walipofikia ki uchumi na ki technology licha ya kuwekewa vikwazo kiuchumi miaka kibao si jambo la mzaha.Wananchi wake pia wana mapenzi na nchi yao na wako tayari kufa kwa nchi wao.Hawa sio waarabu,south americans au waafrika na sio kuwafananisha na hayo mataifa ambayo America nafanya anachotaka, Usa hawezi kwenda ovyo ovyo kwa hawa jamaa,madhara ya nyuklia muulize mjapan kidogo anajua,na ana makobora ya nguvu,hivyo south korea na japan (american allies) zitapata shida na makombola yake yana fika mpaka hawaii na central europe,akiona anashindwa atahakikisha anaharibu USA interest popote atakapoweza kufika.
Dunia itakuwa sio kama tunavyoijua! Tuombe yasitokee hayo.
 
Mmmh. Bora Hata wasipigane. Maana sisi vidagaa kina Tanzania sijui tutapona,Hata Bomu la nyuklia hivi Tz tunalijua kweli?
 
Mi nakubali hii nchi kwa kitu kimoja tuu.
Pamoja na kuwekewa vikwazo vya uchumi wapo hapo walipo.
Najaribu kuwaza hilo lingetokea kwa nchi za kiafrika.
 
Unazungumzia US gani hii tuijuayo au ya kwako,maana kama hii tuijuayo ndiyo inayoongoza kwa matangazo na propaganda kwenye media kuhusu silaha zao

US hawana propaganda wajaribu uone cha moto
 
Halafu wabongo kwa kushadia sasa.
Ooh kapanki kapigwe,wanashabikia utadhani ni Maiweza na Pakiao wanazipiga.
Mnashindwa kuelewa vifo vitatokea vingi vikiwa vya watoto na wanawake.
Achezi ushabiki maandazi hakuna atakayebaki salama vita vya nyuklia vikianza kulindima.
 
Mmmh. Bora Hata wasipigane. Maana sisi vidagaa kina Tanzania sijui tutapona,Hata Bomu la nyuklia hivi Tz tunalijua kweli?
Ha ha cha ajabu malighafi kubw ya kutengeneza hiyo nyuklia ambayo ni uraniam inapatikana tanzania,mto wa mkuju kusini huko,sasa sijui ishaanzwa kuchotwa au bado maana nasikia dili walipewa wa canada.
 
Only eleven countries have independently launched setellites on their own indegeneouslu developed launch vehicles,the countries are
1.Russia 2.USA 3.North Korea 4.Iran 5.China 6.Israel 7.U.K 8.India 9.France 10.Japan 11.Ukraine
Pia tukumbuke dunia ina Jumla ya nchi 196,nchi 185 zote hazijaweza hiki kitu.
Nawashangaa watu wanaoidharau North Korea
Wakifika hapo kwa NKorea wanaparuka mkuu
 
a8522e725d4d681e41dfe19ea6d63631.jpg
 
Back
Top Bottom