Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

Unazungumzia US gani hii tuijuayo au ya kwako,maana kama hii tuijuayo ndiyo inayoongoza kwa matangazo na propaganda kwenye media kuhusu silaha zao
Ukweli huu ni mchungu ila unasemwa na watu wachache na makini. Hata zile operation tunazosikia kwa miaka sasa ni Mwingereza na Mfaransa wanaosaidia sana kwa mbinu linapokuja swala la ardhini. Hayo makombora yatajibiwa kwa makombora hivyohivyo
 
Tupen Update nataman huyo Mnyoa Kiduku Ashkishe adabu mara mmmoja
 
Tupen Update nataman huyo Mnyoa Kiduku Ashkishe adabu mara mmmoja
North Korea wameufyata hawajatest makombora yao Bali wameonyesha tu missile zao na kutia mkwala kama kawaida fungua Washington post kuna video.
 
Only eleven countries have independently launched setellites on their own indegeneouslu developed launch vehicles,the countries are
1.Russia 2.USA 3.North Korea 4.Iran 5.China 6.Israel 7.U.K 8.India 9.France 10.Japan 11.Ukraine
Pia tukumbuke dunia ina Jumla ya nchi 196,nchi 185 zote hazijaweza hiki kitu.
Nawashangaa watu wanaoidharau North Korea
 
Trump asifanye maamuzi ya kipuuzi, Marekani inaweza kukumbana na walichokikuta Vietnam
 
North Korea wameufyata hawajatest makombora yao Bali wameonyesha tu missile zao na kutia mkwala kama kawaida fungua Washington post kuna video.
Ukisema Satellite mbona kuna nchi muhimu kmaa France unaiacha, China, Italy, kwa kifupi nchi nyingi zina Satellites halafu kama nia yako ni kuzungumzia Silaha za Nyuklia basi tuondolee Ukraine kwenye list na ukiacha USA na Russia hakuna mwingine mwingine aliyefanya Independntly.
Kuna tofauti kati ya Satellite na Nuclear weapons cjui wewe ulikua unazungumzia ipi...!!!
Only eleven countries have independently launched setellites on their own indegeneouslu developed launch vehicles,the countries are
1.Russia 2.USA 3.North Korea 4.Iran 5.China 6.Israel 7.U.K 8.India 9.France 10.Japan 11.Ukraine
Pia tukumbuke dunia ina Jumla ya nchi 196,nchi 185 zote hazijaweza hiki kitu.
Nawashangaa watu wanaoidharau North Korea
 
North Korea wameufyata hawajatest makombora yao Bali wameonyesha tu missile zao na kutia mkwala kama kawaida fungua Washington post kuna video.
Wameufyata wapi?
Wakati mmarekani na dunia tumechezeshwa ngoma yao ya asili bila kupenda?
Ha haah haah
 
Unazungumzia US gani hii tuijuayo au ya kwako,maana kama hii tuijuayo ndiyo inayoongoza kwa matangazo na propaganda kwenye media kuhusu silaha zao
Us hawaendi vitani alone pamoja na kuwa ni taifa kubwa na mbwembwe nyingi it means ni waoga. We hii ya korea mwingereza yuko zake kimya wala hataki kujihusisha unadhani marekani atathubutu kupigana bila france uingereza canada germany?
 
USA ya DJT si sawa na ile ya mjaluo.
Trump alikwisha sema, yeye hawezi weka wazi mipango ya vita kama Mwana Mama Clinton na Obama. Anatwanga tu.
So, NK should mind that. The action is imminent.
 
Ukisema Satellite mbona kuna nchi muhimu kmaa France unaiacha, China, Italy, kwa kifupi nchi nyingi zina Satellites halafu kama nia yako ni kuzungumzia Silaha za Nyuklia basi tuondolee Ukraine kwenye list na ukiacha USA na Russia hakuna mwingine mwingine aliyefanya Independntly.
Kuna tofauti kati ya Satellite na Nuclear weapons cjui wewe ulikua unazungumzia ipi...!!!
Umeshindwa kumuelewa aliyetoa post, ni kwamba mpaka sasa kuna nchi 10 tu zilizotengeneza satellite na carriers(rockets) zao wenyewe, nchi zingine satellite zao wanazirusha sehemu nyingine au rockets zao za kuplace satellite kwenye space zimetengenezwa kwa msaada wa nchi nyingine.
 
wameogopa kujaribu kibomu chao US sio wa mchezo mchezo
 
Unazungumzia US gani hii tuijuayo au ya kwako,maana kama hii tuijuayo ndiyo inayoongoza kwa matangazo na propaganda kwenye media kuhusu silaha zao

Well said, wanasahau MSM zao zilivyo pigia debe bom lao lililo dondoshwa Afghanistani juzi, wakadai eti Waasi 36 waliuwawa kwenye shambulio hilo, hivi gharama za kuhunda Mother Of All Bombs linaweza kuwa justified kwa kuua waasi 36 tu, was it worth it au walitaka kutuma a msg kwa Korea,Iran, Syria nk.

Hapa naona baadhi ya members wanadai kwamba Korea, Uchina na Urusi wana kawaida ya kutangaza silaha zao kwenye Parade dharau tu zisizo na mantiki - kwao the World is America uwambii kitu!! Je watasema nini kwa matifa ambayo yanatangaza silaha zao kwa kuangamiza maelfu ya binadamu?? Nani ambaye hajui kwamba kutumia bomb la M.O.B huko Afghanistani lengo lilikuwa la kisiasa zaidi kuliko kitu kingine, kama kawaida yao wanataka kutishia Mataifa mengine ambayo hawapendi kwa kudondosha bom la mfano, mbinu hizi wanazitumia sana - waliwahi kodondosha mabom mawili ya Nuclear huko Japan bila ya sababu ya msingi zaidi ya kuitishia Urusi, wakauua Raia wengi wa Kijapan kwa lengo la kisiasa tu ujinga wao huo ndiyo ulifumua ushindani wa kuhunda silaha kali Duniani - what did they achieve at the end of the day zaidi ya kuleta vurugu Duniani kote na ukosefu wa amani ya kudumu, hawa si watu wa kuchekea hata kidogo.

Vyombo vya habari vya magharibi juzi vilipigia debe Mother Of All bomb wakajifanya hawajui uwepo wa bom la Warusi ambalo lina nguvu na madhara mara nne zaidi ya Bom la Marekani, Father Of All Bombs la Urusi ndilo Conventional Bom linalo ongoza Duniani - mbona vyombo vya habari vya magharibi awalisema hilo.
 
Well said, wanasahau MSM zao zilivyo pigia debe bom lao lililo dondoshwa Afghanistani juzi, wakadai eti Waasi 36 waliuwawa kwenye shambulio hilo, hivi gharama la kuhunda Mother Of All Bombs linaweza kuwa justified kwa kuua waasi 36 tu, was it worth it au walitaka kutuma a msg kwa Korea,Iran, Syria nk.

Hapa baadhi ya members wanadai kwamba Korea, Uchina na Urusi wana kawaida ya kutangaza silaha zao kwenye Parade!! Je watasema nini kwa matifa ambayo yanatangaza silaha zao kwa kuangamiza maelfu ya binadamu?? Nani ambaye hajui kwamba kutumia bomb la M.O.B huko Afghanistani lengo ni la kisiasa zaidi kuliko kitu kingine kama kawaida yao wanataka kutishia Mataifa mengine ambayo hawapendi, mbinu hizi wanazitumia sana - waliwahi kodondosha mabom mawili ya Nuclear huko Japan bila ya sababu ya msingi zaidi ya kuitishia Urusi, wakauua Raia wengi wa Kijapan kwa lengo la kisiasa tu na ushindani wa kuhunda Silaha.

Vyombo vya habari vya magharibi juzi vilipigia debe Mother Of All bomb wakajifanya hawajui bom la Warusi ambalo lina nguvu mara nne ya Bom la Marekani, Bom la Urusi ndilo Conventional Bom linalo ongoza Duniani - mbona vyombo vya habari vya magharibi awalisema hilo.
Kwa sasa tunaloamin ni hili MOAB, kwa sababu ni combat tested.

Vipi FOAB ni combat tested?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ukisema Satellite mbona kuna nchi muhimu kmaa France unaiacha, China, Italy, kwa kifupi nchi nyingi zina Satellites halafu kama nia yako ni kuzungumzia Silaha za Nyuklia basi tuondolee Ukraine kwenye list na ukiacha USA na Russia hakuna mwingine mwingine aliyefanya Independntly.
Kuna tofauti kati ya Satellite na Nuclear weapons cjui wewe ulikua unazungumzia ipi...!!![/
Ndugu soma vizuri nilichokipost hutakuwa hujaelewa vzr
 
Ukisema Satellite mbona kuna nchi muhimu kmaa France unaiacha, China, Italy, kwa kifupi nchi nyingi zina Satellites halafu kama nia yako ni kuzungumzia Silaha za Nyuklia basi tuondolee Ukraine kwenye list na ukiacha USA na Russia hakuna mwingine mwingine aliyefanya Independntly.
Kuna tofauti kati ya Satellite na Nuclear weapons cjui wewe ulikua unazungumzia ipi...!!!
Ndugu soma vizuri nilicho ki post naona hujaelewa lolote?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom