Wachambuzi wa mambo tupeane Update ya kinachoendelea North Korea!

Hata Tanzania tulishikamana sana si wakulima wala wazee, watoto hadi vibaka. Kila mtu alkuwa anajua kwenye kumtoa nduli, ndiyo sehemu ya kulala.

Pengien tujaribu kumtukana tukana yeyote hapa, tupime kama ile ari ya wakati ule itakuwepo leo.

Hako kamjamaa wewe ulishakaona kameingia vitani na nchi gani uone kwamba watu wote wanamshikamano wa moyoni kama si wa kuogopa kutokujaribiwa kwake? Ni vigumu kuamua ushindi wa vita kwa kuangalia show!.
NK kapigana vita ya kutosha kutetea ardhi yake na tumeandika humuhumu JF. Pitia Google huko ujue amepigana vita mara ngapi na mataifa mangapi. Kwa taarifa yako katika hayo mataifa USA alikuwemo.
 
a9536901b03f75f6520dc5502b10a05b.jpg
 
USA hawezi kuigusa North Korea maana hiyo itakuwa ni 3rd world war

Na wanaweza kujitoa ufahamu mmoja wao akasema liwalo na liwe, kuliko kujificha uvunguni. Hasa kamjamaa kalikozoea kutokukosolewa. UKiwa kwenye tv kanaongea ukasinzia wewe ni msaliti au mchochezi, unayongwa!, bila shaka katakuwa na shauku ya kutaka dunia nzima kaifanye chini yake.
 
NK kapigana vita ya kutosha kutetea ardhi yake na tumeandika humuhumu JF. Pitia Google huko ujue amepigana vita mara ngapi na mataifa mangapi. Kwa taarifa yako katika hayo mataifa USA alikuwemo.

Huna sababu ya kusema kwa jazba. Hata gadafi alikuwa uganda lakini hatuwezi kusema tulipigana vita na libya. Tofautisha. Ukiondoa Israel na Marekani, hakuna nchi itatoa hazina yake kuu kibindoni kusaidia jirani unless kushindw akwa jirani kunahatarisha maisha yako moja kwa moja.

Unaona hizi kwata? Hata sisi kwenye sikukuu za muungano huwa tunapiga matambo ya nguvu!. Hiyo ni show tu na wala haina ukweli na uhalisia.

Ni sawa na mtu kupiga pushup, ukaamini kwamba ataleta mabadiliko.
 
Leo ndio siku ile tuliokuwa tunaisubiri-kushuhudia maadhimisho ya siku ya Jua huko North korea.
Ambapo siku hii taifa la North korea huadhimisha sherehe hizo kwa ku test makombola yake ya masafa
Ninachojiuliza Ikitokea kama Nortkorea hawata test ndio tuseme watakuwa wamewaogopa USA au watakuwa wamewasikiliza washirika wao china na urusi hivyo kusitisha zoezi?
Je wakitest hayo makombora USA atachukua hatua gani??
N.B tafauti ys masaa nchini Korea na Hapa kwetu ni masaa 6
Kipank kanywea....Anaogopa mziki wa USA
 
Huna sababu ya kusema kwa jazba. Hata gadafi alikuwa uganda lakini hatuwezi kusema tulipigana vita na libya. Tofautisha. Ukiondoa Israel na Marekani, hakuna nchi itatoa hazina yake kuu kibindoni kusaidia jirani unless kushindw akwa jirani kunahatarisha maisha yako moja kwa moja.
Unaweza kuweka mfano wowote wa USA alioingia vitani yeye peke yake na akashinda? Unajua ni kwa nini ni muoga kusogeza vita eneo la nyumbani kwake? Unajua ni kwa nini mpaka leo hana kikosi madhubuti cha ardhini? Unajua kilichowakuta Delta Force walipo attempt kumkamata Mullar Mohamed Omary kule a
Afghanistan au Somalia hapo jinsi Apache Helkopta zilivyobunguliwa. Uliza kwa nini UK moja ya nchi yenye makomandoo bora kabisa wa vita ya Ardhini yuko kimya kwenye jambo hili? Vita hii ni ya nguvu ya Nyuklia. Don't try it!
 
Leo ndio siku ile tuliokuwa tunaisubiri-kushuhudia maadhimisho ya siku ya Jua huko North korea.
Ambapo siku hii taifa la North korea huadhimisha sherehe hizo kwa ku test makombola yake ya masafa
Ninachojiuliza Ikitokea kama Nortkorea hawata test ndio tuseme watakuwa wamewaogopa USA au watakuwa wamewasikiliza washirika wao china na urusi hivyo kusitisha zoezi?
Je wakitest hayo makombora USA atachukua hatua gani??
N.B tafauti ys masaa nchini Korea na Hapa kwetu ni masaa 6
[emoji115]Kwani ISIS wamefanyiwa nini kule Afrighanstan juzi![emoji30] [emoji30] [emoji30]........unafikiri north korea hawakujifunza kitu??
 
Unaweza kuweka mfano wowote wa USA alioingia vitani yeye peke yake na akashinda? Unajua ni kwa nini ni muoga kusogeza vita eneo la nyumbani kwake? Unajua ni kwa nini mpaka leo hana kikosi madhubuti cha ardhini? Unajua kilichowakuta Delta Force walipo attempt kumkamata Mullar Mohamed Omary kule a
Afghanistan au Somalia hapo jinsi Apache Helkopta zilivyobunguliwa. Uliza kwa nini UK moja ya nchi yenye makomandoo bora kabisa wa vita ya Ardhini yuko kimya kwenye jambo hili? Vita hii ni ya nguvu ya Nyuklia. Don't try it!

Wewe toa viashiria vyako. Mimi nimesema maneno mengi ni uoga!. Maonyesho siyo vita!. Uzalendo huupimi kwa utii wa vitisho!

Yaani unataka mtu mwenye akili timamu asubiri vita vimkute katia arrdhi yake? Kumuwahi audi kabla hajakukaba koo ndizo mbinu zenyewe. America hapigani kwa kutumia majambia.

Hata sisi tulipokwenda uganda, tulipta shida sana wakti tunapambana na adui kagera kwenye mashamba ya miwa. Lakiini kwetu ilikuwa ni mteremko tulipokuwa katika ardhi ya uganda. Kama hujui mbinu za vita ulizia.
 
NK kama ilivyo kwa nchi nyingine, leo ndo ilikuwa siku yake ya kuadhimisha simply "Uhuru" wake. Na amefanya hivyo kama utaratibu unavyotakiwa kuwa. Tanzania tunafanyaga hivyo December 09, kila mwaka na sio vitisho wala maonyesho kwa mtu yeyote na hivyo kwa swala kubwa kama hilo kwa Taifa lolote hakuna wakukuingilia na kukupangia cha kuonyesha. Back to Topic, vikwazo na chokochoko za USA dhidi ya NK kwa miaka zaidi ya 50 sasa ni kile kinachoitwa ujeuri na kiburi cha utawala wa NK. Imekuwa hivyo tangu enzi za Kim IL Sung akaja mwanae Kim Jong IL na sasa Kijana wa kiduku. Basically kwa "ujeuri na kiburi" chao hawajawahi kumzuia yeyote kufanya yake. Hebu wewe unaekereka rusha ngumi basi tukuone.[emoji123]
 
Watanzania munaniacha hoi! hivi kwanini kidplomasia watanzania tumegawanyika? mfano kwenye hii issue ya NK kutest Nuclear zake, ukisoma posts mbalimbali humu utagundua, kuna wanaoisapoti US na wako walioko NK! Kwanini hii hali? [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji36] [emoji379] [emoji379] [emoji114] [emoji125]
 
Back
Top Bottom