Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,626
- 30,602
Leo ndio siku ile tuliokuwa tunaisubiri-kushuhudia maadhimisho ya siku ya Jua huko North korea.
Ambapo siku hii taifa la North korea huadhimisha sherehe hizo kwa ku test makombola yake ya masafa
Ninachojiuliza Ikitokea kama Nortkorea hawata test ndio tuseme watakuwa wamewaogopa USA au watakuwa wamewasikiliza washirika wao china na urusi hivyo kusitisha zoezi?
Je wakitest hayo makombora USA atachukua hatua gani??
N.B tafauti ys masaa nchini Korea na Hapa kwetu ni masaa 6